Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Hapana ndugu, labda wengi wenu.Exactly imani ya wengi wenu.
Kama Zanzibar haiendelei kutakua na sababu nyingine Tu, Muungano unatumika km kisingizio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ndugu, labda wengi wenu.Exactly imani ya wengi wenu.
Huwezi kuwa na nyumba kubwa halafu vyumba vya uwani vikawa ni vya mtu mwingine.Walipokuja warabu tu na walipopandikiza mbegu hapo imeleta shida
Ila Zanzibar ni sehemu ya Tanzania(tanganyika)
Kabla ya warabu Kuja Ambapo wa pemba walikuwa bado kutokea wanyamwezi ndiyo walikuwa hapo
Kabla ya mwarabu
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania aka tanganyika
Ova
NimekupuuzaMarhum Ilunga anasemaje mkuu. Sijamsikiliza
Wanasiasa ndo wanawa-indoctrinate hivyo...kwamba muungano ni kikwazo Tanganyika inawanyonya.Hapana ndugu, labda wengi wenu.
Kama Zanzibar haiendelei kutakua na sababu nyingine Tu, Muungano unatumika km kisingizio
Tazama uchumi wa visiwa vya Indian ocean utapata jibu nazungumzia Mauritius,Seychelles ,Madagascar .Mazingira ni yale yale,hadi baadhi ya visiwa vinalingana kw ukubwa na Zanzibar //End of comparison. Uchumi wa visiwa hivi umepiku uchumi wa Zanzibar kwa kiwango kikubwa hadi aibu.Hivi Zanzibar ikijitoa Muungano ndio itaendelea?
Kusilimu ni option ya mtu,Nani atakulazimisha usilimu?Hapo tutasikia mawaidha tu ya kutaka nchi nzima tusilimishwe tuwe maustadhi
Ndiyo maneno ya kanisa hayoWalipokuja warabu tu na walipopandikiza mbegu hapo imeleta shida
Ila Zanzibar ni sehemu ya Tanzania (Tanganyika)
Kabla ya warabu Kuja Ambapo wa pemba walikuwa bado kutokea wanyamwezi ndiyo walikuwa hapo
Kabla ya mwarabu
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania aka tanganyika
Ova
with reparations....one day yes ,mtaitema tu
Vipi Comoro wanaoendana na Zanzibar kwa 99%?Tazama uchumi wa visiwa vya Indian ocean utapata jibu nazungumzia Mauritius,Sychelles ..............
Hizo ni ndoto za kanisa lakoKwa hiyo Arusha ishindwe kumaliza taifa ije kuwa Zanzibar ya John Okello?
.
Abdool Zanzibar ni kamkoa ketu ila tunajua mnaweza anza malipuzi ndio maana tumewapa mnavyovitaka ili mjione na nyie ni Hong Kong
You don't realize what you've till it's gone.Mnalazimisha kitu kisicholazimika , one day yes ,mtaitema tu
Uislam ni imani kama imani nyingine na hauna tatizo. Shida ni wajuaji wanaojivika hii imani utadhani walizaliwa nayo...... Wao wanaona wanamjua MUNGU kuliko wanaomjua kweli kweli......
Shida ni Dodoma kuiamulia Zanzibari nini na nani wa kuongoza. Siku wa Zanzibari wakichoka kuelekezwa nini cha kufanya . Watazika machungu hayo.
Bahati mbaya, wa Zanzibari nao bado wamepumbazwa na unafuu wanayopewa kutoka Tanganyika kama chambo.
Ikumbukwe Zanzibar ndio ilioutaka muungano.Kwani Zanzibar haijakuwepo kabla mavamizi yaitwayo muungano?
Hali ya maisha kwa Wazanzibari weusi ilikuwaje?Kwani Zanzibar haijakuwepo kabla mavamizi yaitwayo muungano?
"Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru" mwisho wa nukuu.Mapinduzi ya1964 hapa ZNZ yamekuwa kisingizio tuu cha kuitia nchii katika ukoloni, Uhuru wa nchi hii uliotarajiwa kuendelezwa baada ya Mapinduzi, Hatimae ulitoweka kwa Muungano wa wanamapinduzi kuiunga nchi na Tanganyika.
Lengo ilikuwa kuipoka madaraka yake ili kuikabidhikwa Tanganyika.
Muungano imekuwa kama kihalalisho cha dhamira nzima ya Ukoloni wa Mtuu mweusi kwa mweusi.
Haya yote yanayofanyika ,ni muendelezo wa kututowa kwenya ajenda ya kujikomboa, na kutufanya tuanze kusigana wenyewe kwa wenyewe .
Kwa hakika vitambulisho hivi vya Mzanzibar havina maslahi yoyote zaidi ya siasa.
Ilitarajiwa viwe kitambuzi cha cha Utaifa wetu ili kujulikana ni nani mzanzibari kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri, na nani si mzanzibari ,lakini hivi sasa hata wamasai na wamachinga wanavyo.
Kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na Mkoloni wala hakina masharii, unaweza kukipata hata kwa Mtandao ,
ili lengo la kuifanya nchi hii kuwa Moja, huku Utaifa wa Zanzibar ukibakia kama Laana ,na chanzo cha kusigana na kutiana hatiani wenyewe.
Kwa kina utaona kuwa Waznzibari Mapandikizi ndio vinara wa kutengeneza mizengwe hii kwa maslahi ya Kuimaliza Hadhi ya Zanzibar.
Mithili ya kuku wanaopelekwa sokoni kwenye susu, utakuta majogoo wanapigana mule na wengine kudonoana.
Wakifika sokoni wote huuzwa na kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo cha mnunuzi.
Hata Uraisi wa nchi hii Kila siku tunawekewa Makando kando ,watu wasiokuwa wazanzibari halisi,
Karibuni hivi utasikia ,Mzaramo, au Mmakonde au Mkwere wanataka uraisi Zanzibar.
Akisimama Mmakunduchi, Mtumbatu,Muhadimu, Mshirazi au Mpemba wote watatupwa kapuni na atapewa mwenye asili ya Kando kando ili kuepuka ushawishi wa Kuleta mageuzi katika visiwa hivi, na awe mtiifu wa kwenye asili ya alikotoka.
Rejea uchumi wa Zanzibar kabla ya mapinduzi+muungano . Baada hapo extrapolate to 2020.Vipi Comoro wanaoendana na Zanzibar kwa 99%?
Zenji ni sehemu ya Tanzania
Period,
Tufunge mjadala sasa
Ova