BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
mzee upo deep.ntakitafuta hicho kitabuBado logic inakukatalia. Kama weusi ni imara zaidi ya wazungu, kwanini mchanganyiko wa mzungu na mweusi uwe weak kuliko mzungu mwenyewe.
Hapo ilitakiwa mweusi awe strong, afate chotara wa kizungu na kiafrika then afate mzungu au jamii za Asia.
Sasa kwa kesi hii ni kinyume, yani ni sawa na kusema wazungu ni weupe, waafrika ni weusi lakini chotara ni weusi zaidi ya wote hao.
Tokea siku nyingi inajulikana kuwa black Americans wana life expectancy ndogo, wanapata magonjwa ya moyo kuliko wazungu na matatizo kibao. Nilisoma kutoka kitabu cha 'Comparatible worth of Different races'.
Hii inaakisi maisha yetu yalivyo huku, watu ambao waliwahi kuwa na viribatumbo, matege, malnutrition, kwashiorkor na magonjwa ya utotoni kibao siamini kama wanaweza kuwa na kinga za maana. Tuna asili ya kuwa na kinga lakini maisha yetu yanatufanya tuwe very weak.
Lets wait.
mzungu ana ngozi strong kuliko mtu mweusi? mzee ficha upumbavu wakoBlack America ndio hufa kwa wingi sana kuliko weupe...takwimu zinaonyesha hivyo....
Weupe wana ngozi imara na strong more than Black people...Mungu aepushie mbali gonjwa hili.
Idadi waliokufa marekani kufikia leo ni 18,817 na wagonjwa 505,874
Ndani ya saa 24 tu wamekufa 2108, idadi ambayo imevunja rekodi duniani.
so white ni mzungu tu.so kipindi kile cha jim crow laws waarabu na wahindi nao walikuwa wanabaguliwa?Marekani ni nchi ambayo kuna rangi 2 tu za binadamu..white & black...hakuna coloured, half-caste anayetambulika kama sijui mixed race, sijui nini...Arabs ni black...Indians ni black...Asians siyo white..
Sasa kundi hili la blacks nalo linajibagua ipasavyo, hispanics, Mexicans, Carribeans, African-American, Arabs, mvurugano mtupu..
Everyday is Saturday.................... π
mzungu ana ngozi strong kuliko mtu mweusi? mzee ficha upumbavu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
kafie mbeleSijui lini utaacha kuongea ujinga...so kuwa na hekma...na usifikiri unaongea mtoto mwenzio hapa π