BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Black America ndio hufa kwa wingi sana kuliko weupe...takwimu zinaonyesha hivyo....
Weupe wana ngozi imara na strong more than Black people...Mungu aepushie mbali gonjwa hili.
Idadi waliokufa marekani kufikia leo ni 18,817 na wagonjwa 505,874
Ndani ya saa 24 tu wamekufa 2108, idadi ambayo imevunja rekodi duniani.