Wamasai mikanda yenu ya ngozi inadumu Sana mnakosa hela jiongezeni igeni wachina

Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
Duh

USSR
 
Kwa bandiko hili una wa bia Wajerumani waache kuunda malori ya Mercedes Benz ngumu waige Howo za Kichina. Mswidi aache kuunda Scania thabiti aunde kama Yutong ya Mchina.
 
Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
Acha hayo mambo kwanini wamasai wasiue soko la mchina kwa kuwa na bidhaa bora za ndani ,kuliko duni za kutoka nje?
 
Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
Mkanda kuwagumu sio kwamba ni Bora. Bongo finishing nibovu ndio maana hatununii. Bidhaa yoyote baada ya kutengeneza lazima uweke vingarisho vitakavyomvutia mteja Sasa wao wskishalikata li ngozi na kuhonga konga marembo ya kizamani kwa lichuma wamemaluza. Hata hivyo wamasai siku hizi sio watengenezaji Bali wananunua kwa waswahili na kuuza
 
Back
Top Bottom