GE2025 Wamasai Ngorongoro tuna imani kwa CCM na Rais Samia, tunatarajia Suluhisho la Changamoto za Malisho

GE2025 Wamasai Ngorongoro tuna imani kwa CCM na Rais Samia, tunatarajia Suluhisho la Changamoto za Malisho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hivi ni kweli kabisa watu wa Ngorongoro wamesahau mateso walikutana nayo, mh napata mashaka inawezekana hawa wananchi wamepata kulambishwa asali.

Lakini si sehemu ambayo CCM inanguvu kiasi cha kupata kura uchaguzi huu
=================

Jamii za kifugaji za Kimasai wilayani Ngorongoro zimeonyesha imani kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku wakitarajia suluhisho la kudumu kwa changamoto ya malisho kupitia Tume ya Serikali iliyoundwa kuchunguza masuala ya Hifadhi ya Ngorongoro na Pori Tengefu la Akiba la Pololeti.

Katika mikutano ya kampeni za mgombea ubunge wa jimbo hilo, Yanick Ndoinyo, zilizofanyika katika kata za Oloipiri, Suitsambu na Oloolosokwan, viongozi wa jamii pamoja na wagombea wa CCM wamesisitiza kuwa Oktoba 29 wako tayari kumpa kura Rais Samia, kwa imani kwamba ataweka suluhisho thabiti la changamoto zinazowakabili wananchi.
 
Hujielewi wewe
Sawa wewe unajielewa toa hoja zako mshamba wewe
pumbav kabisa hivi unaishi Tz kweli? Umelewa uchawa hadi unakaribia kuzima ukiandika ukweli kuna kitu utapungukiwa mkuu?
Wewe mwenyewe ni mpumbavu tena pro max, nina andika kile ninachokiona kwamba ni sahihi, na wewe andika chako mshamba mmoja wa porini wewe
 
Back
Top Bottom