Wamasai ni watu poa sana!

Wamasai ni watu poa sana!

Nijivute msomera taratibu
Anyway umeongea vizuri sana ila kiuhalisia wamasai na warangi ndio wife material waliobaki tz
 
Nilibahatka kuoa binti wa kimasai, nilikuwa sina maisha napitia changamoto ya maisha lakini yeye wala hakunikimbia. Kitu alichoniambia nimtafutie shilingi elfu 35,000/= ya kufanya ujasiriamali ya kuendesha biashara ya mboga mboga kwenye minada ya wamaasai.

Huwezi amini ndani ya miaka 2 kanipga gepu ya maendeleo pakubwa, sasa hivi anauza Mavazi ya kimasai huko mnadani. Kiwanja tumenunua kwa pamoja ila yeye ndiye kachangia pakubwa.

Mwez wa kumi na mbili mama mkwe anakuja kumshka mtot yaan mjukuu wake sasa mke amenitonya nitafute pesa ya sherehe kama milioni 3 maana yeye kaambiwa na mama yake watakuja na milioni 14 kwa wamasai ndiyo desturi yao wanaita mbesi mama kwenda kwa mtoto wake wa kike kumsalimia duh! Kweli ya Mungu mengi.
Hii ni bongo muvi usiilete hapa
 
Jana nilikuwa na binamu yangu kwenye party, yeye ni mlevi na mpenda starehe. Ni wale akitoka Ijumaa asubuhi kwenda kwenye ujasiriamali kwake anarudi Jumatatu usiku. Ile Ijumaa anaunga kazini hadi starehe, anaibuka asubuhi starehe anaenda kutafuta, hivyohivyo mpaka akirudi Jumatatu usiku ndio analala. Kwahiyo alikuwa anakaa mchafu na ananuka pombe.

Sasa jana nikashangaa mbona ametoka uzee, kanawiri, macho yamepungua wekundu na hajavimba uso. Kumbe ameoa sogea tuishi kaacha kulala viwanja na kunywa supu ya mapupu. Mke yuko strict hakuna kulala nje wala kurudi umelewa.

Binamu hadi jana tukazungumzia kilimo na viwanja, na kusafirisha mikoani. Akataja hela ambazo kabla hajawahi taja, na manunuzi ambayo hakuwa anafanya. Nikagundua tu hizi akili ni mchango wa mke wake.
Amechagua fungu lililo jema.
 
Kwa hiyo wewe kwa sasa unatambulika pia kama baba yeyoo na mke wako ni mama yeyoo!!

Na mimi ngoja nitafute binti wa kuoa wa Kimasai. Siku zote nilifikiri raia wa kawaida huwezi kuoa kwa urahisi tu binti wa Kimasai!
😂😂😂 ndy mkuu
 
Hongera mkuu ubarikiwe pamoja na familia yako
 
Nijivute msomera taratibu
Anyway umeongea vizuri sana ila kiuhalisia wamasai na warangi ndio wife material waliobaki tz
Wote hao wakishaujua mji beki hazikabi. Umpate ndio katoka kwao uko na akikisha umekata connection zote za yeye kuwa na marafiki wanaoitana mashoga especially wadada wa saluni na bar maids
 
Wote hao wakishaujua mji beki hazikabi. Umpate ndio katoka kwao uko na akikisha umekata connection zote za yeye kuwa na marafiki wanaoitana mashoga especially wadada wa saluni na bar maids
Huu mtihani Sasa maana kumchagulia mtu marafiki ni almost impossible
 
Back
Top Bottom