Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Duh mkuu hapo nipo njia panda kwasababu mimi nataka binti ambae nikipita nae sehemu watu wadate akiliWapo wengi saanaaa.
Tena kijiji cha Mashewa unawakuta kama wote wengi wakristo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mkuu hapo nipo njia panda kwasababu mimi nataka binti ambae nikipita nae sehemu watu wadate akiliWapo wengi saanaaa.
Tena kijiji cha Mashewa unawakuta kama wote wengi wakristo.
😂😂😂😂😂😂😂Kaka tulizana mke hatakiwi KUWA mzuri sanaa shauri yako.Duh mkuu hapo nipo njia panda kwasababu mimi nataka binti ambae nikipita nae sehemu watu wadate akili
Mkuu mimi sijali kugongewa ila nataka mke mkali sana😂😂😂😂😂😂😂Kaka tulizana mke hatakiwi KUWA mzuri sanaa shauri yako.
Kaka wasambaa wazuri aisee hujawaona tu.
Unamfahamu HALIMA SHEBUGE wa Azam Tv!?
Aiseee aya mkuu chagua Tanga au Manyara au Singida.Mkuu mimi sijali kugongewa ila nataka mke mkali sana
Ila kwakuwa umeniambia hakuna wa kuwazidi wairaq basi nitaenda hukoAiseee aya mkuu chagua Tanga au Manyara au Singida.
Wapo Babati mjini alafu ingia ndani ndani kidogo vijijini,kuna ki kabila kidogo hivi pia wanaita waburungi ni weupe wazuri warefu nywele kama za kiarabu huko karatu pia nkNilipi chimbo nitapata hao watoto wazuri kwahuko manyara?
ChaiNilibahatka kuoa binti wa kimasai, nilikuwa sina maisha napitia changamoto ya maisha lakini yeye wala hakunikimbia. Kitu alichoniambia nimtafutie shilingi elfu 35,000/= ya kufanya ujasiriamali ya kuendesha biashara ya mboga mboga kwenye minada ya wamaasai.
Huwezi amini ndani ya miaka 2 kanipga gepu ya maendeleo pakubwa, sasa hivi anauza Mavazi ya kimasai huko mnadani. Kiwanja tumenunua kwa pamoja ila yeye ndiye kachangia pakubwa.
Mwez wa kumi na mbili mama mkwe anakuja kumshka mtot yaan mjukuu wake sasa mke amenitonya nitafute pesa ya sherehe kama milioni 3 maana yeye kaambiwa na mama yake watakuja na milioni 14 kwa wamasai ndiyo desturi yao wanaita mbesi mama kwenda kwa mtoto wake wa kike kumsalimia duh! Kweli ya Mungu mengi.
Wanazitoa wapi?Mkuu kuna alishaletewa milion 30 hz 14 nkawaida
Kwahiyo mkuu kati ya hao wairaq na waburungi ni wepi wazuri sana?Wapo Babati mjini alafu ingia ndani ndani kidogo vijijini,kuna ki kabila kidogo hivi pia wanaita waburungi ni weupe wazuri warefu nywele kama za kiarabu huko karatu pia nk
Ila kweli, ukiona zimepungua, oa aliyekuzidi akili.
[/QUOThahaaaa
Ndyo mbesi enyewe wanakusanyana mbaya kabsaa waweza jua wanaenda wanaenda kuzka maana syo utanWanazitoa wapi?
😂😂😂 kawaida mbona mmoja alipga 30 wanatowa aswa hyo npesa taslim bado magunia ya maind mchele maharagwe vyombo mpaka unaweza shagaa lakn wao wanasema kawaida ya mbesiMilion 14, labda za zimbabwe siyo TZ
Mzee hauna hela, tafuta hela mzee..usijipe moyo kua sababu huna hela na wengi hawana hela milioni 14 ni hela ya chai au ya kununua boksa tu..Milion 14, labda za zimbabwe siyo TZ
Yaweza kuta mm nnayo zaid yako maana mm skusema sna pesa ila n mshangao tu mam mkwe kuja kwang na mln 14 kumsalimia mtt wake mm ndy nmeona tu ajabuMzee hauna hela, tafuta hela mzee..usijipe moyo kua sababu huna hela na wengi hawana hela milioni 14 ni hela ya chai au ya kununua boksa tu..
Wote Tu inategemea umempatajeKwahiyo mkuu kati ya hao wairaq na waburungi ni wepi wazuri sana?