Mie nimeoa binti baba muiraqwu mama mnyaturu.mkuu kiukweli unatia hasira nifuate chombo huko kilicho chini ya miaka 22
Ninae mwaka wa pili sema hatujafanikiwa mtoto.
Kwanza warefu,ngozi laini,baby face na wana vishundu fulani hivi.
Ila angalizo,kuwa makini unapotafuta maana hilo kabila hawajielewi ni rahisi kudanganywa kama watoto.