Wamasai ni watu poa sana!

Kwahiyo nimuache mke wangu nioe mmsai mkuu?

Niko njia panda.

By the way mwanaume halisi yule hapendi mserereko. Ni aibu Kwa jamii ,kifamilia,kiukoo,kimkoa na kitaifa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ vijana wanataka kuoa pisi kali ili wasifiwe na kuonekana wajanja.
Pis kali mbona wapo wengi!?
Tanga kuna toto za kisambaa ama Wambugu ni wazuri KONDOA NZIMA HAWAINGII NDANI.
Tena wana matyaakooo sio poa.
Warangi wana sura za kukomaa halafu nywele vipilipili.
Pia hawajatulia.
We muache atuolee mtaa.
 
Wote hao wakishaujua mji beki hazikabi. Umpate ndio katoka kwao uko na akikisha umekata connection zote za yeye kuwa na marafiki wanaoitana mashoga especially wadada wa saluni na bar maids
Kuna watu na watu mkuu.
Jamii ya Wamasai huwa hawapendi mazoea ya kipumbavu kabisa.
Kuna mdada niliwahi soma nae ni maasai yule dada pale chuo wenzake takriban wote waliharibika ila yeye alibaki strict mpaka anaondoka pale.
Na ni watu wanaokuza mila zao popote wanapoenda,huwa sio malimbukeni.
 
Nikiacha kukusikiliza nitakuwa mkaidi maana umetumia capital
Ila Kuna jirani yangu hapa ana enjoy mno!
Ukitaka kuoa mrangi mfuate mzee wa kirangi akichagulie,usijichagulie wewe mwenyewe.
 
Pis kali mbona wapo wengi!?
Tanga kuna toto za kisambaa ama Wambugu ni wazuri KONDOA NZIMA HAWAINGII NDANI.
Tena wana matyaakooo sio poa.
Warangi wana sura za kukomaa halafu nywele vipilipili.
Pia hawajatulia.
We muache atuolee mtaa.
Usimtishe mwana bhana. Demu yoyote akikulia bush ni wife material ikitokea kaja mjini basi awe chini ya uangalizi wa mtu mzima mwenye familia. Shida inaanza pale vibinti vinapokuja mjini na kupokelewa na marafiki zao uko magetoni. Hapo hakuna cha mrangi, muiraqwi, mkurya wala nani nani sijui wote wanaangukia kwenye udangaji
 
Kwahiyo nimuache mke wangu nioe mmsai mkuu?

Niko njia panda.

By the way mwanaume halisi yule hapendi mserereko. Ni aibu Kwa jamii ,kifamilia,kiukoo,kimkoa na kitaifa.
Sasa mserereko uko wapi wakati wanashirikiana na mkewe kimaisha, kwani mwanamke akichangia pakubwa ikiwa kipato chake kinaruhusu kuna ubaya gani? Ilo suala la kuja kumuona mtoto ni la kitamaduni zao wao wenyewe wamasai. Wenye akili kama zako ndio mnadangwa na wake zenu mpaka kwenye ndoa halafu mnafikiri ndio uanamume
 
Chuo anaweza ku-maintain maadili maana bado yupo chini ya wazazi kimalezi ila hawa ambao wamekuja mjini na kupokelewa na mashoga zao uko magetoni my friend usije ukayatimba.
 
Weeeeh wairaqwu ni moto wa kuotea mbali.
Yani muiraqwu ukimuweka na msomali huwezi watofautisha.
Sidhani kama kuna kabila TZ linawafikia kwa uzuri hao watu.
Katika miangaiko ya kimaisha kutafuta ugali nishaweka kambi Karatu kwa miezi kadhaa, tatizo wairaqwi hawana tako na miguu ya bia halafu K zao baridi sana(usiniulize nimejuaje)
 
Milioni
Million 14 hao wamasai matajiri hao tena walioelimika
 
Wazee wa kimasai waliona mbali sana kuwakata "ANTENA" kina mama yoyo....Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T ,huyo alikupenda kwa dhati na si mihemko ya ngono ndio maana lisimamia shoo ,ingekuwa hawa CHUPI mkononi hakuna rangi ungeacha kuiona...sisupport FGM ila % kubwa ya waliokatwa Antena wametulia.
 
Ukitaka kuoa mrangi mfuate mzee wa kirangi akichagulie,usijichagulie wewe mwenyewe.
Hapo sawa kuondoa sio mbali vipi Kuna eneo labda specific la kwenda maana kondoa kubwa kidogo
 
πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ
 
Kutulia hurka ya mtu wala haihusiani na antenna.
 
Weeeeh wairaqwu ni moto wa kuotea mbali.
Yani muiraqwu ukimuweka na msomali huwezi watofautisha.
Sidhani kama kuna kabila TZ linawafikia kwa uzuri hao watu.
mkuu kiukweli unatia hasira nifuate chombo huko kilicho chini ya miaka 22
 
Chuo anaweza ku-maintain maadili maana bado yupo chini ya wazazi kimalezi ila hawa ambao wamekuja mjini na kupokelewa na mashoga zao uko magetoni my friend usije ukayatimba.
Chuo amekuja kapanga Geto na wenzake wawili.
Inamaana wana uhuru wa kufanya watakavyo maana wapo mbali na wazazi.
Wenzake wana watoto sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…