Wamasai ni watu poa sana!

Duh mkuu hapo nipo njia panda kwasababu mimi nataka binti ambae nikipita nae sehemu watu wadate akili
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kaka tulizana mke hatakiwi KUWA mzuri sanaa shauri yako.
Kaka wasambaa wazuri aisee hujawaona tu.
Unamfahamu HALIMA SHEBUGE wa Azam Tv!?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kaka tulizana mke hatakiwi KUWA mzuri sanaa shauri yako.
Kaka wasambaa wazuri aisee hujawaona tu.
Unamfahamu HALIMA SHEBUGE wa Azam Tv!?
Mkuu mimi sijali kugongewa ila nataka mke mkali sana
 
Nilipi chimbo nitapata hao watoto wazuri kwahuko manyara?
Wapo Babati mjini alafu ingia ndani ndani kidogo vijijini,kuna ki kabila kidogo hivi pia wanaita waburungi ni weupe wazuri warefu nywele kama za kiarabu huko karatu pia nk
 
Chai
 
Wapo Babati mjini alafu ingia ndani ndani kidogo vijijini,kuna ki kabila kidogo hivi pia wanaita waburungi ni weupe wazuri warefu nywele kama za kiarabu huko karatu pia nk
Kwahiyo mkuu kati ya hao wairaq na waburungi ni wepi wazuri sana?
 
Milion 14, labda za zimbabwe siyo TZ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kawaida mbona mmoja alipga 30 wanatowa aswa hyo npesa taslim bado magunia ya maind mchele maharagwe vyombo mpaka unaweza shagaa lakn wao wanasema kawaida ya mbesi
 
Milion 14, labda za zimbabwe siyo TZ
Mzee hauna hela, tafuta hela mzee..usijipe moyo kua sababu huna hela na wengi hawana hela milioni 14 ni hela ya chai au ya kununua boksa tu..
 
Mzee hauna hela, tafuta hela mzee..usijipe moyo kua sababu huna hela na wengi hawana hela milioni 14 ni hela ya chai au ya kununua boksa tu..
Yaweza kuta mm nnayo zaid yako maana mm skusema sna pesa ila n mshangao tu mam mkwe kuja kwang na mln 14 kumsalimia mtt wake mm ndy nmeona tu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…