Ni wendawazimu tu ndio wanaiweza kufanya hivyo. Watu wenye akili timamu hawawezi kufanya hivyo. Halafu kinachoumiza ni kuwa havikuwa na ugonjwa wowote na yule aliwaambia ni bora wamwamuru avirudishe alikovitoa kwakuwa alivichkua kwa mali kauli hivyo lazima atalizimika kulipa mil 12+ Mbona madawa ya kukevya kama cokein na mandrax hatujwahi kuona yakichomwa. Wakikamata huwa wanapeleka wapi? Dada wa watu katiwa umaskini na kuachwa na madeni.Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Thibitisha acha ngonjeraHakuna cha mafua ya ndege wala nini, ni ubabe tu.
Wangehama na wenyewe waende Kenya kama imewauma sanaNawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Yule hakuwa mmasai. Istoshe wale ni ng'ombe wao hawakuwa wanafanya biashara. Sema kama ni kuchaniwa inatakiwa iqe ni wafanya biashara wa vifaranga wa Kenya au Tanganyika. Wakiwa 60 kila mmoja akimchangia vifaranga 100 vinafika 6000 vilivyochomwa na wenye akili zao wanazozijua waoJe wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
[HASHTAG]#Sikumchagua[/HASHTAG]Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Ukiona mtu anaweza kuchoma vifaranga visivyosema kinyama kiasi kile jiulize ni vipi binadamu anayesema na kuudhi?Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Roho mbaya hiyo...et bird flu.....You would rather know how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Yaani Mtanzania achomewe vifaranga na Watanzania wenzake kisha aje kulipwa na Wakenya??Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Kwani Alinunua kwa Wamasai Na yeye pia alikuwa Mmasai?Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Nasikia Mmasai Kenya anaenda tu Bila kuulizwa chochote kuwa ni mkenya au Lahunadhani wamasai wanajua hiyo mimi mtanzania wewe mkenya?mmasai nimmasai tu haijalishi yu atokea wapi,hapo wanaona msiba ni wao wote
hahahaha uongo mtupu wa kibavicha
Don't fall for that cheap propaganda mkuu..birds flu hahaha..chuki inayopandikizwa na hii serikali impacts zake zitakuja kulididimiza hili taifa kusikojulikana..in fact we're spinning freely..DEREVA KALEWA!You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Kwa taarifa yako kuku wale walichomwa kwa chuki ya kishamba sana , hakuna cha mafua ya ndege pale , mbona ng'ombe wao mliuziana bei ya kupeana , kwanini hamkuogopa kimeta ?You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
hisia zako tu. Kenyans are in serious business not love affairs, note you!Don't fall for that cheap propaganda mkuu..birds flu hahaha..chuki inayopandikizwa na hii serikali impacts zake zitakuja kulididimiza hili taifa kusikojulikana..in fact we're spinning freely..DEREVA KALEWA!
Kwa mafisadi hali ni mbaya, vyuma vimebana na vitabana zaidi Ona huyu vyuma vilivyobana hata kitambaa tu hamna
Wagongwe muhuri wa kuondoka nchini ili wasirudi kuchunga tzNawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil