Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Ni wendawazimu tu ndio wanaiweza kufanya hivyo. Watu wenye akili timamu hawawezi kufanya hivyo. Halafu kinachoumiza ni kuwa havikuwa na ugonjwa wowote na yule aliwaambia ni bora wamwamuru avirudishe alikovitoa kwakuwa alivichkua kwa mali kauli hivyo lazima atalizimika kulipa mil 12+ Mbona madawa ya kukevya kama cokein na mandrax hatujwahi kuona yakichomwa. Wakikamata huwa wanapeleka wapi? Dada wa watu katiwa umaskini na kuachwa na madeni.Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu