Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Ni wendawazimu tu ndio wanaiweza kufanya hivyo. Watu wenye akili timamu hawawezi kufanya hivyo. Halafu kinachoumiza ni kuwa havikuwa na ugonjwa wowote na yule aliwaambia ni bora wamwamuru avirudishe alikovitoa kwakuwa alivichkua kwa mali kauli hivyo lazima atalizimika kulipa mil 12+ Mbona madawa ya kukevya kama cokein na mandrax hatujwahi kuona yakichomwa. Wakikamata huwa wanapeleka wapi? Dada wa watu katiwa umaskini na kuachwa na madeni.
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Yule hakuwa mmasai. Istoshe wale ni ng'ombe wao hawakuwa wanafanya biashara. Sema kama ni kuchaniwa inatakiwa iqe ni wafanya biashara wa vifaranga wa Kenya au Tanganyika. Wakiwa 60 kila mmoja akimchangia vifaranga 100 vinafika 6000 vilivyochomwa na wenye akili zao wanazozijua wao
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Ukiona mtu anaweza kuchoma vifaranga visivyosema kinyama kiasi kile jiulize ni vipi binadamu anayesema na kuudhi?
 
You would rather know how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Roho mbaya hiyo...et bird flu.....
 
"No matter what comes between, we'll still be friends" napenda hii friendship
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Yaani Mtanzania achomewe vifaranga na Watanzania wenzake kisha aje kulipwa na Wakenya??
Angalau hata Ng'ombe walitaifishwa na Mtanzania ndio maana wamelipwa na Watanzania
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..

Kwani wakenya ndo waliwachoma?
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Kwani Alinunua kwa Wamasai Na yeye pia alikuwa Mmasai?
 
hahahaha uongo mtupu wa kibavicha
 
unadhani wamasai wanajua hiyo mimi mtanzania wewe mkenya?mmasai nimmasai tu haijalishi yu atokea wapi,hapo wanaona msiba ni wao wote
Nasikia Mmasai Kenya anaenda tu Bila kuulizwa chochote kuwa ni mkenya au Lah
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Don't fall for that cheap propaganda mkuu..birds flu hahaha..chuki inayopandikizwa na hii serikali impacts zake zitakuja kulididimiza hili taifa kusikojulikana..in fact we're spinning freely..DEREVA KALEWA!
 
Kwa taarifa yako kuku wale walichomwa kwa chuki ya kishamba sana , hakuna cha mafua ya ndege pale , mbona ng'ombe wao mliuziana bei ya kupeana , kwanini hamkuogopa kimeta ?
 
Don't fall for that cheap propaganda mkuu..birds flu hahaha..chuki inayopandikizwa na hii serikali impacts zake zitakuja kulididimiza hili taifa kusikojulikana..in fact we're spinning freely..DEREVA KALEWA!
hisia zako tu. Kenyans are in serious business not love affairs, note you!
 
a3970fea50033c653b0806961ab47045.jpg
Kwa mafisadi hali ni mbaya, vyuma vimebana na vitabana zaidi Ona huyu vyuma vilivyobana hata kitambaa tu hamna
 
Back
Top Bottom