Kwahiyo unajiridhisha kwa kuichoma moto sio!We kweli hamnazo kabisa, hata hao wakenya hawapo tayari vitu viingie nchini mwao kienyeji enyeji to hususani mifugo bila kujilizisha afya ya mifugo husika.
Mbona ng'ombe walioingizwa bila vibali hawakuchomwa moto kama hiyo ndiyo njia ya kushugulikia tatizo hilo kisheria? Kwanini waliwauza?....walimjaribu kwa kuingiza vifaranga bila vibali, wamepata walichokitafuta.
Sheria unapanga wewe !?Mbona ng'ombe walioingizwa bila vibali hawakuchomwa moto kama hiyo ndiyo njia ya kushugulikia tatizo hilo kisheria? Kwanini waliwauza?
Ubabe hauhitaji vipimo, ni utekelezaji tu.Ni wapi walipopimwa wakakutwa na mafua ya ndege?
Sipangi mimi, wanapanga wachoma vifaranga.Sheria unapanga wewe !?
Sasa waambie watulie wanyolewe !Sipangi mimi, wanapanga wachoma vifaranga.
Wakishamaliza kunyoa wenzao, ndipo na wao watakapoanza kunyolewa.Sasa waambie watulie wanyolewe !
Watasubiri sana maana wakunyolewa wengi saana.Wakishamaliza kunyoa wenzao, ndipo na wao watakapoanza kunyolewa.
Zamu itafika tu hata kama itachukua muda mrefu.Watasubiri sana maana wakunyolewa wengi saana.
Sijawahi ona upendo mkuu kama huu. Karama hii ni ya kipekee ambayo ni tunu kwa watanzania kwa mataifa mengine. Sishangai kwanini mtanzania anaweza kuingia free entry bila visa katika mataifa 76 duniani.Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Hivi huu ugonjwa wa bird flu upo Kenya hivi SasaYou would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Mzee hii sio vita. Ni huruma ya kiutu pale mwenzako anapofikwa na majanga. Kwa hili tunatakiwa kuwasaidia jinsi ya kuzifikisha hizo pole kwa wahusika. Zaidi ni kuwapa pole wale waliofikwa na majanga na wala sio suala la kutafutiana au kuombeana mabalaa.TRA mnajua sheria zenu MTU ski donate gari bure kumpa hawara yake huwa MNA treat vipi? Hakikini kama ni donation na sio sale na kama yakidhi sheria za TRA.TRA wake up
Vifaranga vilikuwa vya wamasai?!!Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
.....lala mlango wazi tu !Zamu itafika tu hata kama itachukua muda mrefu.
INawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Kweni mpaka kufiki hatua ya kuwachangia ndg zao hawawajui ndg zao?ukitaka sema fikilia kwanzaJe wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Wamasai na Wajaluo wa Kenya na Tanzania huwa wana taratibu za kusaidiana na wengine unakuta wana ndugu wa damu kabisa upande wa pili sema tu mipaka ndio imewatenganisha (ukienda Shirati kama kuna msiba utaona magari yenye namba za Kenya wanakuja kusalimia ndugu zao wa Tanzania)Kwa umoja huu tutarajie kushuhudia jamii nyingi zinazoishi nchi tofauti wakiwa na asili moja wakizidi kusaidiana.
Hiyo siyo namna serikali inavyofanya kazi na wala serikali haifanyi kazi kwa taratibu za mitaani.Birds flue???? Utetezi wako hauna nguvu. Kwani walifanya jitihada yoyote kuwapima kama si kujichukulia solution rahisi kutokana na uvivu? Na pili si wangewarudisha watokako? Tusipende kutetea uvivu wa kufikiri wa wahusika.
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu