Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

We kweli hamnazo kabisa, hata hao wakenya hawapo tayari vitu viingie nchini mwao kienyeji enyeji to hususani mifugo bila kujilizisha afya ya mifugo husika.
Kwahiyo unajiridhisha kwa kuichoma moto sio!
 
....walimjaribu kwa kuingiza vifaranga bila vibali, wamepata walichokitafuta.
Mbona ng'ombe walioingizwa bila vibali hawakuchomwa moto kama hiyo ndiyo njia ya kushugulikia tatizo hilo kisheria? Kwanini waliwauza?
 
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Sijawahi ona upendo mkuu kama huu. Karama hii ni ya kipekee ambayo ni tunu kwa watanzania kwa mataifa mengine. Sishangai kwanini mtanzania anaweza kuingia free entry bila visa katika mataifa 76 duniani.
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Hivi huu ugonjwa wa bird flu upo Kenya hivi Sasa
 
TRA mnajua sheria zenu MTU ski donate gari bure kumpa hawara yake huwa MNA treat vipi? Hakikini kama ni donation na sio sale na kama yakidhi sheria za TRA.TRA wake up
Mzee hii sio vita. Ni huruma ya kiutu pale mwenzako anapofikwa na majanga. Kwa hili tunatakiwa kuwasaidia jinsi ya kuzifikisha hizo pole kwa wahusika. Zaidi ni kuwapa pole wale waliofikwa na majanga na wala sio suala la kutafutiana au kuombeana mabalaa.
Ingawa waathirika hawatarudia tena kufanya lile walilolitenda.
Hakuna apendaye nchi yetu kuwa sehemu ya kuchungia mifugo, ila kulikuwa na kautamaduni ka miaka na miaka kati ya jamii ya Kimasai iliyopo Kenya na hii ya Tanzania. Tunatumai salamu zimefika, na hili lisiwe kwa Kenya pekee hata Rwanda, Uganda na Burundi wanatakiwa wafikishiwe salamu. Tusiwe wabaguzi wa utekelezaji, wooote wachungao mifugo yao kwetu wanatakiwa waache.
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Vifaranga vilikuwa vya wamasai?!!
 
Wakuu tujiepushe na cheap popularity. Kwani sheria zinasemaje juu ya suala hili? Kama sheria zinaelekezai kuchoma moto basi CHOMENI HATA KAMA NI BINADAMU.
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
I
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Kweni mpaka kufiki hatua ya kuwachangia ndg zao hawawajui ndg zao?ukitaka sema fikilia kwanza
 
Kwa umoja huu tutarajie kushuhudia jamii nyingi zinazoishi nchi tofauti wakiwa na asili moja wakizidi kusaidiana.
Wamasai na Wajaluo wa Kenya na Tanzania huwa wana taratibu za kusaidiana na wengine unakuta wana ndugu wa damu kabisa upande wa pili sema tu mipaka ndio imewatenganisha (ukienda Shirati kama kuna msiba utaona magari yenye namba za Kenya wanakuja kusalimia ndugu zao wa Tanzania)
 
Birds flue???? Utetezi wako hauna nguvu. Kwani walifanya jitihada yoyote kuwapima kama si kujichukulia solution rahisi kutokana na uvivu? Na pili si wangewarudisha watokako? Tusipende kutetea uvivu wa kufikiri wa wahusika.
Hiyo siyo namna serikali inavyofanya kazi na wala serikali haifanyi kazi kwa taratibu za mitaani.
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu

mmh mkuu jambo usilolijua uliza au kaa kimya, acha ku display ujinga

vifaranga havikupimwa, havikuwa na usalama wa uhakika kiafya, kubeba virus maana havikuwa na source

pole mkuu, vingeingia na kuleta majanga ungelaumu pia
 
Back
Top Bottom