Ile ilikuwa roho mbaya tu, hakuna vipimo vyovyote vilivyofanyika. Viumbe hai wale waliteseka na moto kama vile wako jehanamu, vikiwa havina hata hatia. Manyanyaso na ukatili yanaumiza kwa kiumbe chochote hai. Bird flu mnaitumia tu kama defence mechanism, hakuna kitu kama hicho.mmh mkuu jambo usilolijua uliza au kaa kimya, acha ku display ujinga
vifaranga havikupimwa, havikuwa na usalama wa uhakika kiafya, kubeba virus maana havikuwa na source
pole mkuu, vingeingia na kuleta majanga ungelaumu pia
Ukimeza mwiba ujue namna ya kuunya
Watoto wa mama mna majibu.Wangehama na wenyewe waende Kenya kama imewauma sana
Hivi kweli, unashangaa vifaranga kuchomwa moto, vikiwa hai na wala hushangazwi na adhabu ya mtu kunyongwa hadi kufa?Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Ni bora vingerudishw huko kenyaYou would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Pambana na hali yakoWatoto wa mama mna majibu.
Kula kulala inawasaidia kupayuka hovyo humu jf
Siyo ujasiri, nadhani ungeuliza, 'huo uhayawani unautolea wapi....'Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Ule ni wendawazimu tu. Hakukuwa na mlipuko wa ugonjwa nchini Kenya. Kwa kawaida serikali inayoongozwa na watu wenye hekima, mlipuko ukitokea, kuna tangazo hutolewa. Kama kuna makosa katika kufuata taratibu za uingizaji kuna adhabu. Anaweza kuruhusiwa kuingiza, akalipa adhabu au akazuiwa kuingiza.You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Wamasai wana utu sana na wanapendana sanaa.Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Wamasai kwa wamasai hata awe ni wa Marekani na wa somalia watasaidiana tu.Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Nenda kawahamishe kama una uthubutu.Wangehama na wenyewe waende Kenya kama imewauma sana
NakujaNenda kawahamishe kama una uthubutu.
Ukiwa na akili fupi bila kufikiri madhara ya kuingiza kila kitu ovyo ,ndio utawaza ujinga huu ulioandikaaHakuna cha mafua ya ndege wala nini, ni ubabe tu.