Bwai
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 721
- 488
Ile ilikuwa roho mbaya tu, hakuna vipimo vyovyote vilivyofanyika. Viumbe hai wale waliteseka na moto kama vile wako jehanamu, vikiwa havina hata hatia. Manyanyaso na ukatili yanaumiza kwa kiumbe chochote hai. Bird flu mnaitumia tu kama defence mechanism, hakuna kitu kama hicho.mmh mkuu jambo usilolijua uliza au kaa kimya, acha ku display ujinga
vifaranga havikupimwa, havikuwa na usalama wa uhakika kiafya, kubeba virus maana havikuwa na source
pole mkuu, vingeingia na kuleta majanga ungelaumu pia