Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

mmh mkuu jambo usilolijua uliza au kaa kimya, acha ku display ujinga

vifaranga havikupimwa, havikuwa na usalama wa uhakika kiafya, kubeba virus maana havikuwa na source

pole mkuu, vingeingia na kuleta majanga ungelaumu pia
Ile ilikuwa roho mbaya tu, hakuna vipimo vyovyote vilivyofanyika. Viumbe hai wale waliteseka na moto kama vile wako jehanamu, vikiwa havina hata hatia. Manyanyaso na ukatili yanaumiza kwa kiumbe chochote hai. Bird flu mnaitumia tu kama defence mechanism, hakuna kitu kama hicho.
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Hivi kweli, unashangaa vifaranga kuchomwa moto, vikiwa hai na wala hushangazwi na adhabu ya mtu kunyongwa hadi kufa?
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Ni bora vingerudishw huko kenya
 
Mkenya sio mtu kabisa hata awe mmasai
Mmasai wa Tanzania ana tofauti kubwa sana na wa kenya
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Siyo ujasiri, nadhani ungeuliza, 'huo uhayawani unautolea wapi....'
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Ule ni wendawazimu tu. Hakukuwa na mlipuko wa ugonjwa nchini Kenya. Kwa kawaida serikali inayoongozwa na watu wenye hekima, mlipuko ukitokea, kuna tangazo hutolewa. Kama kuna makosa katika kufuata taratibu za uingizaji kuna adhabu. Anaweza kuruhusiwa kuingiza, akalipa adhabu au akazuiwa kuingiza.

Ule wendawazimu wa kuchoma vifaranga unafanywa na watu wenye roho za shetani. Kwa upum.bavu ule, kuna siku tutachoma moto binadamu eti kwa sababu ni wahamiaji haramu. Ule uamuzi ulikuwa wa kishetani unaotakiwa kupingwa na binadamu yeyote mwenye roho ya Mungu.
 
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil

Ufugaji holela ni wa kupingwa popote. Ufugaji wa miaka ya 1890 haufai kwa dunia hii ya Leo.

Kama ardhi yote ya kuchungia Kenya iko mikononi Kwa watu binafsi waombe uraia wa Tanzania
 
a3970fea50033c653b0806961ab47045.jpg

Hehehe
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..

Ndugu Mmasai ni Mmasai hata awe Uganda ni wale wale
 
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Wamasai wana utu sana na wanapendana sanaa.

Mmasai tajiri wa madini mererani akipita barabarani na kumwona mwenzie atampandisha kwenye gari mpaka anapoenda na kumjali pia.

Utu kama huo umeondoka kwenye jamii nyingi sikuhizi.
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Wamasai kwa wamasai hata awe ni wa Marekani na wa somalia watasaidiana tu.
 
Wale wrote ndugu tu hakuna cha kujitolea wala nini mbona sijasikia wamempa mang'ati
 
Back
Top Bottom