Wamasai waacheni kama walivyo

Wamasai waacheni kama walivyo

Rexwinton

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
74
Reaction score
137
Basi bwana by the time nipo form three nilikuwa napenda sana mademu si unajua kubaleh. Lakini kwa upande flani walikuwa kama hawaniewi flan hivi basi bhana nikawaga na force hivyo hivyo mpaka namaliza four.

Sasa sikumoja katika kutembea tembea nikakutana na masaai mmoja maeneo ya stand anauza dawa tofauti na ameziandika kwenye bango lake pale.

Sasa mimi nikawa nimechill pembeni nakunywa soda kwenye kiduka flani hivi sasa nikasoma lile bango nikaona dawa ya mapenzi.

Basi ikabidi nimuulize anielezee vizuri akaniambia hii dawa chukua nusu ukaogee siku nne halafu itakayobaki changanya kwenye mafuta ya maji ukitaka demu paka mafuta huku unamnuia na kumtaja jina lake.

Sikuamini sana ila kwa kua aliipigia sana promo ikabidi niichukue nikaitest bwana wee mzigo ulikuwa haudanganyi kila demu ninaemgusa yumo wengine hata nilikuwa siwatongozi walikuwa wakiniona tu wenyewe wanashoboka. Nimewatomba sana mitaani humu[emoji81][emoji81][emoji81] ..Yule maasai popote alipo akumbukwe aisee ni noma.[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Niliwah pata dawa kutoka ukerewe huko kipindi nipo form 2 kuna manzi nilikuwa namwelewa sana

Dawa yenyew ilikuwa ya unga niliitia kwenye maji ya kuoga asubuhi kabla ya kwenda shule na ndan ya maji niliweka shilingi ishirini ndo yalikuwa mashariti yake na wakati wa kuoga niliambiwa inatakiwa nikiwa naoga nilitamke jina la huyo manzi na niseme jinsi navyomuhitaji na nikimaliza kuoga ile shilingi ishirini nimpatie kijana yoyote mdogo nilifanya hvyo ile kufika shule nikamuona huyo demu kwa mbali amenitumbulia mimacho nikawa namkwepa,siku hiyo huyo demu hakusoma vizuri muda wote alikuwa ananiangalia mimi tu

Yaan hapo ilitakiwa nikipata muda mzuri nimfate nimwambie kuwa namtaka na nimpeleke gheto asingekataa lakin kutokana na uwoga wangu nilishindwa kabisa kumaliza mchezo mpaka siku hyo inaisha demu kazubaa tu kila akiniona yaan anakuwa kama ananishangaa
 
2012 kipindi npo degree chuo flan dsm, end of semester mwaka wa pili nlirud nyumban mkoan sasa kulikuwa ma shughuli ya kujengea makaburi ya ukoo bhana.. kuna babu mmoja alikuja ni ndugu wa koo anakaa vijijin huko.. siku tupo nyumban aliniuliza chuon huko mjin kuna mdada anampenda anakusumbua?

Nkamwambia ndio bas akanipa dawa kama kijiti akasema ukitaka ongea nae uwe unatafuna halafu dawa Nyingine kama kijiwe unaweka mfukon unakiminya same time unamtongoza hakatai... Basi nkarud chuo kuna pisi kali moja ya Kimachame ilikuwa mwaka wa 3 Account nliifata canteen nkawa naipa somo kama babu alivyonambia... yaan ilikubal na ililipa lodge yenyew jion kigambon nkafanya yangu, Yule babu ni fundi aseee 😂😂😂😂😂
 
Dawa yenyew ilikuwa ya unga niliitia kwenye maji ya kuoga asubuhi kabla ya kwenda shule na ndan ya maji niliweka shilingi ishirini ndo yalikuwa mashariti yake na wakati wa kuoga niliambiwa inatakiwa nikiwa naoga nilitamke jina la huyo manzi na niseme jinsi navyomuhitaji na nikimaliza kuoga ile shilingi ishirini nimpatie kijana yoyote mdogo nilifanya hvyo ile kufika shule nikamuona huyo demu kwa mbali amenitumbulia mimacho nikawa namkwepa,siku hiyo huyo demu hakusoma vizuri muda wote alikuwa ananiangalia mimi tu,yaan hapo ilitakiwa nikipata muda mzuri nimfate nimwambie kuwa namtaka na nimpeleke gheto asingekataa lakin kutokana na uwoga wangu nilishindwa kabisa kumaliza mchezo mpaka siku hyo inaisha demu kazubaa tu kila akiniona yaan anakuwa kama ananishangaa
Pengine alikuwa anakuogopa wewe ukadhani alikukubali...
Huenda ungemsogelea tu angepiga kelele za kuomba msaada 😁
 
Haya mambo yapo kuna hio moja uncle alikuwaga anachanganya na mafuta ya mzaituni anajipaka

Aisee alikuwa anabadilisha kila dizaini ya mademu kwanzia mabeki tatu wanafunzi ,mama ntilie mpka watumishi

[emoji16]

Nikimuomba dawa hyo alikuwa anakataa
 
Basi bwana by the time nipo form three nilikuwa napenda sana mademu si unajua kubaleh. Lakini kwa upande flani walikuwa kama hawaniewi flan hivi basi bhana nikawaga na force hivyo hivyo mpaka namaliza four.

Sasa sikumoja katika kutembea tembea nikakutana na masaai mmoja maeneo ya stand anauza dawa tofauti na ameziandika kwenye bango lake pale.

Sasa mimi nikawa nimechill pembeni nakunywa soda kwenye kiduka flani hivi sasa nikasoma lile bango nikaona dawa ya mapenzi.

Basi ikabidi nimuulize anielezee vizuri akaniambia hii dawa chukua nusu ukaogee siku nne halafu itakayobaki changanya kwenye mafuta ya maji ukitaka demu paka mafuta huku unamnuia na kumtaja jina lake.

Sikuamini sana ila kwa kua aliipigia sana promo ikabidi niichukue nikaitest bwana wee mzigo ulikuwa haudanganyi kila demu ninaemgusa yumo wengine hata nilikuwa siwatongozi walikuwa wakiniona tu wenyewe wanashoboka. Nimewatomba sana mitaani humu[emoji81][emoji81][emoji81] ..Yule maasai popote alipo akumbukwe aisee ni noma.[emoji81][emoji81][emoji81]
Unaandaa namna ya kuwatapeli watu. Huu ujanja wa zamani... Watu siku hizi wanaushtukia sana.
 
Toa namba ya mmasai huyo...wadau watoe kutu
 
Niliwah pata dawa kutoka ukerewe huko kipindi nipo form 2 kuna manzi nilikuwa namwelewa sana

Dawa yenyew ilikuwa ya unga niliitia kwenye maji ya kuoga asubuhi kabla ya kwenda shule na ndan ya maji niliweka shilingi ishirini ndo yalikuwa mashariti yake na wakati wa kuoga niliambiwa inatakiwa nikiwa naoga nilitamke jina la huyo manzi na niseme jinsi navyomuhitaji na nikimaliza kuoga ile shilingi ishirini nimpatie kijana yoyote mdogo nilifanya hvyo ile kufika shule nikamuona huyo demu kwa mbali amenitumbulia mimacho nikawa namkwepa,siku hiyo huyo demu hakusoma vizuri muda wote alikuwa ananiangalia mimi tu

Yaan hapo ilitakiwa nikipata muda mzuri nimfate nimwambie kuwa namtaka na nimpeleke gheto asingekataa lakin kutokana na uwoga wangu nilishindwa kabisa kumaliza mchezo mpaka siku hyo inaisha demu kazubaa tu kila akiniona yaan anakuwa kama ananishangaa
Hahaha
 
Back
Top Bottom