Wamasai walivyojibu maswali haya ya Mzungu

Wamasai walivyojibu maswali haya ya Mzungu

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
493
Reaction score
1,135
Maswali mazito yaliulizwa na Mzungu kwa Wamasai. Cheki video utajua Wamasai wanaakili kuliko Mzungu

Ni Mara nyingi tuli mjini tunaji chukulia ni wajanja kupita maelezo, Ila yawezekana Wamasai ni wajanja kutupita sisi, ndo Mana wanaishi simple life.

Hautaweza kumuona Masai ameuza ngo'mbe zake 100 na kuanza kuruka na maraya baa CHEKI VIDEO

 
Back
Top Bottom