Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole Ngurumwa na Briefcase NGOs za Ngorongoro 'mukuje' huku.Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.
Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.
Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
View attachment 2890387
Hata sisi wamakonde tukiambiwa tuache kuaruka na kula ming'oko kwa kweli tutalianzisha 😄😄Utajisikia vipi ukiambiwa uache utambulisho wako, urithi wako, mtindo wako wa maisha? Waweza kuacha kula rojo? Waweza kuacha mdundiko, waweza kuacha kuvaa makobazi na kanzu.
Muwe mnafikiria vizuri nyie watu!!Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.
Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.
Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
View attachment 2890387
UharoZanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.
Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.
Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
View attachment 2890387
Mkuu, we acha tu. If my memory serves me right, Mzee Ben Mkapa R.I.P nilimchukia kwa kisa chake cha kuwalazimisha wamakonde wasipige Tatoo zao za jadi....Hicho kitu kiliniuma. Akaja na Jakaya Kikwete, huyu naye aliwakataza Wamaasai kufanya uwindaji wakati wa Jando-rite of passage ya vijana wakimaasai iliniumai, sijui kwanini, lakini I felt something amiss na mie sio Mmakonde au Mmaasai.Hata sisi wamakonde tukiambiwa tuache kuaruka na kula ming'oko kwa kweli tutalianzisha 😄😄
Ipo siku tutauvunja na wazanzibar warudi kwaoMzanzibari kawafukuza Ngorongoro sasa mlitaka waende wapi. Ni wakati muafaka kuachana na huu muungano wa mchongo. Wazanzibari chao chao lakini chetu chao pia hili halikubaliki hata kidogo