Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

Mzanzibari kawafukuza Ngorongoro sasa mlitaka waende wapi. Ni wakati muafaka kuachana na huu muungano wa mchongo. Wazanzibari chao chao lakini chetu chao pia hili halikubaliki hata kidogo
Inauma sana sana!!! Hao hao wamewafukuza Ngorongoro, na Sasa hao hao wanawafukuza Zanzibar!!! Hawa Wazanzibar wamekuwa Wakoloni
 
Mliwafukuza kwao Ngorongoro Sasa vumilieni!!

Mwisho Zanzibar itakuwa ya Wamasai.
Naunga mkono hoja samia kaua wamasai wengi sana ngorongoro na kuwatia ulemavu....kitu cha kushangaza wamasai wamepiga kirungu polisi wapumbavu imekuwa nongwa nashauri wamasai wazarishe sana wazanzibari ili kizazi cha wamasai kichukue nchi ya zanzibar kama mbadala ya ngorongoro
 
Zanzibar issue ya Wamasai na WA Zanzibar itakuja kuwa kama issue ya Wapalestina na WA Israeli.
 
Kwa awamu hii ya kishetani yote yanawezekana.

Muwape sumu kabisa watokomee wote.
 
Ujue hii ishu ya wanasai zenj niyakustajabisha kidogo wamasai zenj wamekuwa wengi wazungu wengi vibibi na wanawake wa kizungu reject wanakuja zenj kufata wanaume wa kimasai sasa awa wazenj wanaona wivu mahana wao wanakuja urojo nguvu awana wanasai wengi wamepaa na vibibi mashine zinapiga kaz
 
Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.

Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.

Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano

View attachment 2890387
Je walioenda kuwakamata wale masai walifuata sheria au walienda kihuni kimazoea?
 
Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.

Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.

Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano

View attachment 2890387
Yaani Wamasai 6 wameteka Zanzibar ndo mnataka Uhuru kamili mtaweza kujitawala kweli? Hilo Jeshi la wapi mnaliita si mna KVZ na Infantiria?
 
Wamasai ndugu zenu km mvaavyo misuli Bila chupi nao ni utaratibu wao pia, migambo walitumia nguvu kubwa ikabidi wajihami
 
Ila huu muungano bana


Wapemba wamejaa Hadi morogoro Tena wanamiliki ardhi za mamilion na Kila mtu hawasumbui ila mmasai kumiliki sime na fimbo Ambayo hazifiki hata milion 1 wanasumbuliwa!
 
Back
Top Bottom