much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
For realPengine mabinti wa Kipemba wanawazimikia Wamasai!! Ndo chuki inapoanzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For realPengine mabinti wa Kipemba wanawazimikia Wamasai!! Ndo chuki inapoanzia
Umeandika nini? Wao wamasai wakiwa Zanzibar hawapo huko kimuungano?Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.
Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.
Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
View attachment 2890387
Kumbe ugomvi sio runga na sime, ni vibibi..hahahaUjue hii ishu ya wanasai zenj niyakustajabisha kidogo wamasai zenj wamekuwa wengi wazungu wengi vibibi na wanawake wa kizungu reject wanakuja zenj kufata wanaume wa kimasai sasa awa wazenj wanaona wivu mahana wao wanakuja urojo nguvu awana wanasai wengi wamepaa na vibibi mashine zinapiga kaz
Kimsingi huu ndio ukweli kwani wao wanaume wa kipemba wengi ni mashoga. Wamasai wanawasaidia kazi ndio wanawachukia. Jamaa wanawatandika sana virungu na fimbo hao askari uchwara.Pengine mabinti wa Kipemba wanawazimikia Wamasai!! Ndo chuki inapoanzia
Inasikitisha kwa kweli. Sasa wanatamba na bi. tozo ndio maana wana kiburi.Ila huu muungano bana
Wapemba wamejaa Hadi morogoro Tena wanamiliki ardhi za mamilion na Kila mtu hawasumbui ila mmasai kumiliki sime na fimbo Ambayo hazifiki hata milion 1 wanasumbuliwa!
Yawezekana WAMEGOMA kuvaa kanzu na vibarakashea ndio wanalazimishwa kwa kunyanganywa vifaa vya jadi yaoWamasai ndugu zenu km mvaavyo misuli Bila chupi nao ni utaratibu wao pia, migambo walitumia nguvu kubwa ikabidi wajihami
Na Wahamie huko kwa wingi maana Maza ndiye aliyewaza ardhi yao Waarabu.Mliwafukuza kwao Ngorongoro Sasa vumilieni!!
Mwisho Zanzibar itakuwa ya Wamasai.
HahahKazi hiyo ni nyepesi sana akipewa bwana ROSTAM AZIZI
Kwani ngorongoro imekuwaje hao watu wanatafuta ardhi na serikali siku zote ziwe ni mali zao binafsiHahah
Yaani huyu aache kuiba billions akahangaike na masai?!!
Pale kwa Mrombo Arusha juzi nilikuwa Arusha tulikuwa tunakula nao nyama na bia walikuwa na sime na marungu uzuri wa mmasai anatumia silaha hiyo ukimchokoza tu sasa wewe unamchokoza wa nini.Wamasai hata Disco wanaingia na rungu na sime waachwe tu
Kwenye issue ya wamasai CCM unaiwekaga pembeni. Ni Sawa na faiza foxy ikijaga issue ya uislamu CCM anaionaga takataka. Wewe ni Ngayoni wa wapi by the waya?!Kwa awamu hii ya kishetani yote yanawezekana.
Muwape sumu kabisa watokomee wote.