Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

Umeandika nini? Wao wamasai wakiwa Zanzibar hawapo huko kimuungano?
 
Kumbe ugomvi sio runga na sime, ni vibibi..hahaha
 
Wazenji buana kwa ubaguzi...
 
Pengine mabinti wa Kipemba wanawazimikia Wamasai!! Ndo chuki inapoanzia
Kimsingi huu ndio ukweli kwani wao wanaume wa kipemba wengi ni mashoga. Wamasai wanawasaidia kazi ndio wanawachukia. Jamaa wanawatandika sana virungu na fimbo hao askari uchwara.
 
Ila huu muungano bana


Wapemba wamejaa Hadi morogoro Tena wanamiliki ardhi za mamilion na Kila mtu hawasumbui ila mmasai kumiliki sime na fimbo Ambayo hazifiki hata milion 1 wanasumbuliwa!
Inasikitisha kwa kweli. Sasa wanatamba na bi. tozo ndio maana wana kiburi.
 
Mmasai hajawahi kuwa mkorofi hata siku Moja kama hujamkorofisha. Bongo tunaishi nao miaka dahari. Tatizo Lenu mnaona ni watoto au mazezeta mnataka kuwalazimisha waache Mila zao kwa nguvu na kufuata Mila za kiarabu kama mnavyowavamia watu wakati wa mfungo wa ramadhani na kuwapiga kisa wanakula hadhatani. Heshimuni derivasity za watu. Kama ninyi mmechagua kuabudu Mila za kiarabu sio wote
 
Wamasai ndugu zenu km mvaavyo misuli Bila chupi nao ni utaratibu wao pia, migambo walitumia nguvu kubwa ikabidi wajihami
Yawezekana WAMEGOMA kuvaa kanzu na vibarakashea ndio wanalazimishwa kwa kunyanganywa vifaa vya jadi yao
 
Haina haja ya jeshi au vinginevyo, wamasai ni raia watiifu watafata sheria kama wafatao sheria wengine. Hakuna mmasai hajui kuwa Zanzibar kuna amani kubwa ambayo ni tunu kubwa huku bara kwa hiyo hakuna haja ya kubebana na sime na marungu.
Utamaduni wa zanzibar ndio huo huo utamaduni wa bara hakuna to fauti ila huku bara wamezidi wakina panya road na wengineo.
 
Hahah
Yaani huyu aache kuiba billions akahangaike na masai?!!
Kwani ngorongoro imekuwaje hao watu wanatafuta ardhi na serikali siku zote ziwe ni mali zao binafsi
 
Wamasai hata Disco wanaingia na rungu na sime waachwe tu
Pale kwa Mrombo Arusha juzi nilikuwa Arusha tulikuwa tunakula nao nyama na bia walikuwa na sime na marungu uzuri wa mmasai anatumia silaha hiyo ukimchokoza tu sasa wewe unamchokoza wa nini.
Kama ni askari wa jiji wakienda kwa kuwapa maelekezo bila nguvu haiwezi kutokea tafrani
 
Kwa awamu hii ya kishetani yote yanawezekana.

Muwape sumu kabisa watokomee wote.
Kwenye issue ya wamasai CCM unaiwekaga pembeni. Ni Sawa na faiza foxy ikijaga issue ya uislamu CCM anaionaga takataka. Wewe ni Ngayoni wa wapi by the waya?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…