Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

Huu ulikuwa unyanyasaji mkubwa sana. Watu wameishi hapo miaka yote, unakuja kuwatoa ghafla na kutaka waanze maisha mengine ambayo sio asili yao.

Ngoja tuone, ila naunga mkono uamuzi huo.
Mwarabu ndugu katika Imani kutoka Oman anataka ajenge vivutio vya kitalii ushasikia ndugu katika Imani kwa hio Mzungu hatosikilizwa
 
Hizi mambo zimefanyika ili kuimarisha suala la Carbon Credit. Lakini ni ngumu watu kulielewa hadi athari zitakapotokea.
 
Yupo msukuma na Maulid Kitenge watatusaidia kutuliza upepo. Isitoshe na Bashite amerudi atasaidia kupinga
 
Hadi leo sijawahi kuelewa sababu ya maana ya kuwatoa wamasai Ngorongoro wakati miaka naenda rudi wameishi na wanyama pori bila shida
Wajomba wanalitaka eneo ndugu katika Imani
 
Huu ulikuwa unyanyasaji mkubwa sana. Watu wameishi hapo miaka yote, unakuja kuwatoa ghafla na kutaka waanze maisha mengine ambayo sio asili yao.

Ngoja tuone, ila naunga mkono uamuzi huo.
Best umeongea ukweli na ndio ilivyo,huyo macho kumchuzi ndgu zake wangefukuzwa kazimkazi angekubali
 
European Parliament in Brussels.

Roundtable at the European Paliament

View: https://m.youtube.com/watch?v=8mq_p9ugcDgThis roundtable approached the case of Tanzania and analyzed in more details the evictions of the Maasai from their lands as well as the violent repressions undertaken by the Tanzanian government. More than 70 000 Indigenous Maasai people are at risk or have already been expelled from their lands to make way for a tourism and conservation operation supported by the Tanzanian government that is undertaking several operations to put into action its plan to evict close to 150 000 Maasai from Ngorongoro Conservation Area (NCA) and Loliondo.
 
Naishi Marekani kwa zaidi ya miaka 20. Nimesafiri Afrika, Ulaya, na Asia.

Point yako ni nini?
Kiongozi, neno Afrika na Africa katika matumizi ya maeneo/ bara yanatumikaje? Mfano hapo neno Asia umeutumia kwenye sentensi ya Kiswahili na unauweza kuutumia kwenye sentensi ya kiingereza pia hivyohivyo. Je, ya kwetu imetofautishwa na nini?
 
Afrika ni Kiswahili, Africa ni Kiingereza. Kwenye Asia, silabi zinafanya maandishi kwenye Kiingereza na Kiswahili kuwa sawa. Asia. Ingawa matamshi Kiingereza ni "Eshia" na Kiswahili ni "Asia".
 
Afrika ni Kiswahili, Africa ni Kiingereza. Kwenye Asia, silabi zinafanya maandishi kwenye Kiingereza na Kiswahili kuwa sawa. Asia. Ingawa matamshi Kiingereza ni "Eshia" na Kiswahili ni "Asia".
Shukrani
 
Acheni kujificha kwenye utalii. Ilikuwa kosa kubwa Sana
 
Nawapongeza EU kwa maamuzi yao! Ulikuwa ni upumbavu kuwaaondoa wamasai kwenye maeneo yao ya asili.
Waamasai ni moja ya vivutio vya Watalii kwa wazungu.
Nachojiuliza! Sijui itakuwaje kama Mama ameshachukua hela za Wajomba baada ya kuiuza ngorongoro?
 
Huu ulikuwa unyanyasaji mkubwa sana. Watu wameishi hapo miaka yote, unakuja kuwatoa ghafla na kutaka waanze maisha mengine ambayo sio asili yao.

Ngoja tuone, ila naunga mkono uamuzi huo.
Nachukua muda huu kumshkuru Mungu kwa kukuweka salama. Nilishawahi kuchati sana na wewe nikitumia akaunti ambayo kwa sasa siitumii tena. Ni jambo la kumshkru Mungu takribani miaka kumi inakaribia tu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…