Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

Spika wa bunge la EU rafiki yake na Lissu, huwa wanalewa wote Lissu anapokuww ubeleji
 
Serikali ya awamu ya sita inafikiria kunufaisha zaidi waarabu kuliko raia wake
 
Hii ndo sehemu mama natakiwa kusimama na kuwaonesha hawa mabeberu kuwa tunaweza kusonga mbele bila utegemezi kwao,mimi binafsi naunga mkono wamasai kuondolewa kwenye maeneo ya hifadhi ya ngorongoro kwa hoja ya uhifadhi wa mazingira .

Ikumbukwe kuwa jamii nyingi za wafugaji wakiwemo wasukuma na maasai wanaongoza kwa kuharibu mazingira,ikiwa wataachwa waendelee na shughuli zao bila kuingiliwa na serikali nadhani baada ya 20 yrs to come ngorongoro itakuwa jangwa.

Serikali imechelewa kuchukua hatua,na tutaendelea na mifumo hii huku tukiharibu mazingira yetu tusipochukua hatua sitahiki,nashauri serikali kutunga sheria kali ili kuwabana wafugaji kupunguza idadi ya mifugo yao kwa hoja ya utuzaji mazingira,moja ya njia sahihi ni kuwatoza kodi wafugaji,haiwzekani mimi mwalimu mwenye mshahara wa basic ya 700K nalipa 50K kama kodi huku mfugaji mwenye ngombe 200 halipi chochote,no

Pili serikali ije na sheria ya kuwabana wafugaji kuchungia kwenye maoneo yale tu wanayomiliki hii itasaidi kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji
 
Hawo Mabeberu wanapaswa kujua kuwa Tanzania ni Jamuhuri, na kama ni Jamuhuri basi inapaswa kujiamulia mambo yake yenyewe bila kupangiwa na wao Mabeberu.
 
Wale wazee waliyotaka kwenda kufanya matambiko mlimani hanang
Wakachezea kichapo kutoka kwa jamaa wa tanapa [emoji1]

Ova
 
Maza akachukue misaada kwa waarabu
 
Watu washazoea kukaa kulala kwenye majumba ya miti juu nyasi,huko maporini wanakuja watu wanawaambia wanataka wawabadilishe life style wasiishi kizamani wanataka wakae nyumba tofali juu bati ndani tiles [emoji1]

Ova
 
Kumbe Lissu anaheshimika na mataifa makubwa na tajiri kiasi hiki? jamaa tumpe maua yake
 
Sisi ni tafauti. Dunia nzima hasa mabeberu wana reference moja tu ya Aborigines wa Australia na Wahindi Wekundu wa USA. Sisi ni tafauti lakini hawataamini. Serengeti ni ardhi ya asili wa Wasukuma na Wangoreme, walitokewa kwa faida kubwa ya Watanzania, mbona hawa hawajalalamika? Kundi la wachache kwenye mazalia ya Serengeti iweje watutie kitanzi? Ni bahati mbaya kuna Wasaliti wa CHADEMA wakishirikiana na NGO za Kenya kupotosha. Tukataeni kuburuzwa na mabeberu.
 
1. EU hawawezi kutupangia nini tufanye Tanzania Wamasaai wamejaa na mang'onembe Tanzania kuharibu mazingira kila mahali na kuharibu mashamba ya watu EU halilisemei hili? Wammai wabadilike wawe na mifugo michache productive ni sii kuswaga ng'ombe to Monduli hadi Lindi ndo leo watetewe na EU!

2. Mengine hapa ni ya wanaharakati tu!
 
Hawo Mabeberu wanapaswa kujua kuwa Tanzania ni Jamuhuri, na kama ni Jamuhuri basi inapaswa kujiamulia mambo yake yenyewe bila kupangiwa na wao Mabeberu.
Jamhuri ya watu wajinga. Kama ingekuwa ni Jamhuri kama zilivyo jamhuri nyingine mngekuwa mnaomba misaada kila siku? Mngekuwa mnashindwa kutengeneza hata bodaboda?

Hizi nchi bandia lazima zisaidiwe kimaamuzi maana ujinga ni mwingi, matatizo yakizidi mnaenda kuwasumbua wengine. Unayemsumbua ukiwa na shida, ni lazima akufuatilie, usije ukafanya maamuzi ya hovyo, kwa sababu huna uwezo.
 
Co-existence ya wamasai na wanyama kule ngorongoro ni moja ya vivutio muhimu, kilichotakiwa ni serikali kuweka sheria za kudhibiti ongezeko la shughuli za kibinadamu ili kupunguza pressure kwa ecolojia ya wanyama na siyo kuwaondoa wamasai wote.​
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini corona imerudi gafla kumbe kuna huo mzozani?

Sasa corona itashika penyewe mpaka wafanimiwe tujiandae kuteseka.

Wawape tu wanacho taka sisi tubaki na roho.
Gafla et corona mwezi wa 12 so sad
 
Kama ni kazi ya Tundu Lissu basi nimezidi kumkubali.
Asante kwa kunifahamisha Mkuu.
Wewe umemuona mwanashweria Ile Shanghai alivyowahutubia wazungu ndani ya vazi la kimasai? Uliomba tuzo take? Hii kitu ina washikadau kibao kwenye Bunge la ulaya na supporter mmoja aliaga dunia juzi juzi according to ole. CCM inajidai kuwapuuza Wana harakati ila kwa wazungu wanajarakati ni serikali B
 
Kwa maana hiyo Ngorongoro pasi Wamasai haina hadhi tena ya kuitwa "Conservation Area". Iliitwa hivyo kwa sababu ilihifadhi Wanaasai na mifugo yao pamoja namila. Pia ilihifaddhi Mali kale ya Olduvai. Wala Mkuu wake hana hadhi ya kuitwa "CHief Conervator". Hapo inakuwa km TANAPA na Chief Warden
 
11 Dec 2023
Berlin, Germany

Mwanasheria wa Haki za Kibinadamu kutoka Tanzania Joseph Oleshangay apata Tuzo ya Haki za Kibinadamu ya Weimar nchini Ujerumani mnamo Desemba 10, 2023 kwa kutetea haki za jamii ya Wamaasai nchini Tanzania.


View: https://m.youtube.com/watch?v=WAMrlRPWXnU

AUSZEICHNUNGWeimarer Menschenrechtspreis geht an Anwalt aus Tansania​

von MDR THÜRINGEN
10. Dezember 2023, 19:17 Uhr


View: https://m.youtube.com/watch?v=C-IyKKblcP8
Der Anwalt Joseph Moses Oleshangay aus Tansania erhielt am Sonntagabend den Menschenrechtspreis der Stadt Weimar. Er setzt sich für die Rechte der Massai in Afrika ein.
Aktuelle Nachrichten des Mitteldeutschen Rundfunks finden Sie jederzeit bei .
Joseph Moses Oleshangay aus Tansania hat am Sonntagabend den Weimarer Menschenrechtspreis erhalten. Oleshangay setzt sich nach Angaben der Stadt in seiner Heimat für die Rechte der Massai ein und kämpft gegen deren Zwangsumsiedlung durch die Regierung.

Preisträger erhält 5.000 Euro​

Wegen seines Engagements muss der Rechtsanwalt Repressalien erleiden und überlebte bereits einen Mordanschlag, wie es hieß.
Oleshangay setzte sich gegen sieben weitere für den Menschenrechtspreis Nominierte durch. Am Ende stimmte der Stadtrat für ihn als Preisträger.


Der Preisträger erhielt diesen Pokal des Weimarer Künstlers Walter Sachs.Bildrechte: MDR THÜRINGEN
Der Preis ist mit 5.000 Euro dotiert und wurde am Tag der Menschenrechte verliehen. Außerdem erhielt der Preisträger einen Pokal des Weimarer Künstlers und Weimar-Preisträgers Walter Sachs.
Oleshangay sagte auf der Preisverleihung im Festsaal des Fürstenhauses der Musikhochschule, der Preis bedeute ihm und den Menschen, die für ihr gemeinsames Anliegen kämpfen viel. Er fühle sich geehrt.

Weimar vergibt Preis wegen Nazi-Verbrechen​

Der Menschenrechtspreis wird im Rahmen einer Festveranstaltung in Weimar verliehen. Schirmherrin des Preises ist die Journalistin Gundula Gause.
Die Stadt Weimar vergibt den Preis seit 1995 als Zeichen ihrer besonderen Verantwortung nach den Verbrechen des Nationalsozialismus. Im Konzentrationslager Buchenwald bei Weimar hatten die Nazis zwischen 1937 und 1945 rund 280 000 Menschen aus Europa inhaftiert. Rund 56 000 Häftlinge wurden ermordet, starben an Krankheiten, Hunger oder durch Zwangsarbeit.

Source : Weimarer Menschenrechtspreis geht an Anwalt aus Tansania | MDR.DE
 
Hadi leo sijawahi kuelewa sababu ya maana ya kuwatoa wamasai Ngorongoro wakati miaka naenda rudi wameishi na wanyama pori bila shida
Wajomba wanalitaka eneo LA ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…