Teh teh me sio mmbea ila nimepita. Mie zamani ndo nilikuwa na makalio, sasa hivi Nina Sony wega so inawezekana Kabisa eeeeh. U hearddddddd....
Princess sayuni alibadili ID bana Kama nakumbuka vizuri ( Kama hujabadili usinichambe tu Jamani teh teh). Ndiyo wengine shape zetu zinabadilikia ukubwani. Ila tuache utani muuza Samaki wewe, aunt na uwoya wakati wanashiriki umisshhhhhaaaa hivi shoga yangu Princess sayuni alipotelea wapi nammisi jamanii lo,,
Tena wewe ni mbea namba moja ndio umewah kuja teh teh,hii kalii yaan shepu inakuja baadae hii kali
Cc Evelyn Salt
Haya sasaaa nikireport kutoka insta ni mim Dinazarde
Je Hua Kuna makalio ya ukubwan Tu???
Mbna tako alikua nalo toka anashiriki umiss,loo watu wakitaka kukuchafua hawakosi jambo