Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Haya sasaaa nikireport kutoka insta ni mim Dinazarde
Je Hua Kuna makalio ya ukubwan Tu???
 
Attachments

  • wp_ss_20150610_0006.png
    wp_ss_20150610_0006.png
    153.4 KB · Views: 6,848
Hahah si watasema hapo alikuwa bado hajapevuka (kuuvunja) so alipopevuka ndo nyonga ikatanuka jamani!

Hahahha
 
hivi lakini kwelii eee...mimi huwa siyaelewi makalio na hips zake. ukute alipaka madawa kweli. halafu hayajakaa vizuri.
 
Teh teh me sio mmbea ila nimepita. Mie zamani ndo nilikuwa na makalio, sasa hivi Nina Sony wega so inawezekana Kabisa eeeeh. U hearddddddd....
 
Haaaa ndio nani tena alimjaza uchina Dida au?

Hata picha za umisi alikuwa hana matako kumekucha
 
Teh teh me sio mmbea ila nimepita. Mie zamani ndo nilikuwa na makalio, sasa hivi Nina Sony wega so inawezekana Kabisa eeeeh. U hearddddddd....

hhhhhaaaa hivi shoga yangu Princess sayuni alipotelea wapi nammisi jamanii lo,,

Tena wewe ni mbea namba moja ndio umewah kuja teh teh,hii kalii yaan shepu inakuja baadae hii kali
Cc Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
hhhhhaaaa hivi shoga yangu Princess sayuni alipotelea wapi nammisi jamanii lo,,

Tena wewe ni mbea namba moja ndio umewah kuja teh teh,hii kalii yaan shepu inakuja baadae hii kali
Cc Evelyn Salt
Princess sayuni alibadili ID bana Kama nakumbuka vizuri ( Kama hujabadili usinichambe tu Jamani teh teh). Ndiyo wengine shape zetu zinabadilikia ukubwani. Ila tuache utani muuza Samaki wewe, aunt na uwoya wakati wanashiriki umiss
Na wema si walikuwa na shapes za kawaida tu Au?
 
Last edited by a moderator:
Shepu la mazoezi ukubwani halibwabwajiki hivyo linajiseti vizuri.
 
Mbna tako alikua nalo toka anashiriki umiss,loo watu wakitaka kukuchafua hawakosi jambo
 
Inawezekana Dinazarde watu kuwa na mabadiliko ya shepu ukubwani,si umeona kwa kina mama ubaya hizo shepu za ukubwani???!!chezea pesa wewe unaeza tumia unavyotaka na ukabadilika!
 
Last edited by a moderator:
Mbna tako alikua nalo toka anashiriki umiss,loo watu wakitaka kukuchafua hawakosi jambo

Ebu tujaribu kuwa wakweli ingawa mapenzi ni upofu
Ivi Huoni tofauti kati ya tako la umiss na hili hapa?
Akina nancy, millen na akina nasreen karem wao ya kwao hayaongezeki
Tuseme ni unene au mazoezi mbona tumbo halinenepi na miguy imestuck.
Wee kiuno kimebaki kilekile tako na mapaja yamekua kwa kasi ya ajabu
Basi ni sababu za kinasaba, mbona wale dada zake hawapo ivo?
Mastaa wa juu wenye guts huwa wanakubali kama wamefanya ukarabati fulani katika maeneno yao.Huo ndio ustar.
Sweetheart wetu hapa alitumia kakitu fulani, ndio maana linashuka afu lina pande nne.
 
Back
Top Bottom