tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hakyamungu we ni shida mkuu!!yaani umechambua hizo asilimia utadhani unasoma kitabuni???:thumbup:😀
Hahahahaaa, wewe chizi sana ujue?
Hahahaaa c kma gari likipata ajali huwa halirudi sawa lazma kasoro ziwepo bidada nae lake limepata ajali ndio mana domo alisanuka
Hahaaa huo ndio ukweli hata kwenye mechi bibie lazma upige kiupande kma unakuna nazi mana ukipiga doggy style hupati network vizuri cz tako moja refu moja fupi
Hii michina ya bei rahisi hii! Itatuua. Mtu kaona kina Madonna cjui wameongeza takataka gani na yeye huyo anataka!!!.... anadhani mia mbili... Tunakuja ku end up na shit za hips sitasita hawajui those are even guaranteed for years.... Chefuu!!?
mmmmhhhh!!habari ya mjini salehe aka baba daimond wa kufikiaa
Hahahahahaaa! Ngoja niende instagram aisee...
mmmmhhhh!!habari ya mjini salehe aka baba daimond wa kufikiaa
sipati picha likiwa halina nguo lile kabati lake linafananaje!ila amependeza nalo kimtindo!!.
Kuna picha niliona stages zake eti mwisho yanakauka!
Mhhhh,!
Hebu tupeni umbea ambao hatupo huko
Kapendeza nini wakti miguu n hips haziendani kabisa.....utafikiria mnara wa cmu juu mwembamba chini mnene
Uwiiiiiiii! Jamani nimecheka balaaa..
Hakika leo umeniweza.
Wanawekewa silicone ndani yani linakua kma puto unawekewa size unayotaka bt mwisho w cku mchina lazma zipishane moja kubwa moja dogo
ahahahaa tuache utani mkuu,mimi mama ubaya namuonaga mzuri na hiyohiyo fekero yake,tabia tu za kugawagawa hovyo ndio zinazonikera!
Nilimuonaga laivu kabisaa amevaa kajeans kake,duh!anamuonekano flani hivi amaizing,ahahahaa usinipe.mabango tafadhali
Yeah ni kweli,lakini ukikutana na mabingwa wa hizo surgery kama dokta NASSIF na TERRY wanakufanyia vizuri mpaka unashangaa!!hawakoseagi wale jamaa aisee!