Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

Jamani eenh!hebu jifunzeni kuweka alama za koma au vituo mnavyoandika banaah!!mtu anaweza kua na mawazo mazuri, lakini jinsi anavyoandika maana inapotea kabisa mpaka anashindwa kueleweka.
 
Hahahaaa c kma gari likipata ajali huwa halirudi sawa lazma kasoro ziwepo bidada nae lake limepata ajali ndio mana domo alisanuka

sipati picha likiwa halina nguo lile kabati lake linafananaje!ila amependeza nalo kimtindo!!.
 
Hii michina ya bei rahisi hii! Itatuua. Mtu kaona kina Madonna cjui wameongeza takataka gani na yeye huyo anataka!!!.... anadhani mia mbili... Tunakuja ku end up na shit za hips sitasita hawajui those are even guaranteed for years.... Chefuu!!?
 
Hahaaa huo ndio ukweli hata kwenye mechi bibie lazma upige kiupande kma unakuna nazi mana ukipiga doggy style hupati network vizuri cz tako moja refu moja fupi

Uwiiiiiiii! Jamani nimecheka balaaa..
Hakika leo umeniweza.
 
Hii michina ya bei rahisi hii! Itatuua. Mtu kaona kina Madonna cjui wameongeza takataka gani na yeye huyo anataka!!!.... anadhani mia mbili... Tunakuja ku end up na shit za hips sitasita hawajui those are even guaranteed for years.... Chefuu!!?

Kuna picha niliona stages zake eti mwisho yanakauka!
Mhhhh,!
 
Kuna picha niliona stages zake eti mwisho yanakauka!
Mhhhh,!

Wanawekewa silicone ndani yani linakua kma puto unawekewa size unayotaka bt mwisho w cku mchina lazma zipishane moja kubwa moja dogo
 
Hebu tupeni umbea ambao hatupo huko

shosti sijui kuatach video ila mama chibu bwana alikua anatoka na bwan salehe

bas mama rommy kapiga simu kwa dogo dogo kumuuliza kuhusu malovee yao
dogodogo akawa anasema mbona tushaachana toka mwaka jana
mengine nimesahau ila seems km mama rommy alitaka yaishe yaanj waresolve

mtanisamehe team mondi maana mnavyoshadadia ya wenzenu na haya mushadadie basss
warumi hata thread hujaweka mnafki weweee kutwa na wema tuuu na mama ake
leteni thread basssssssssess.....

mnipende mnichukie
mavi yenuuuuu wanafki woteeeeeeeeee mnaopenda kushabikia ya wema tuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Kapendeza nini wakti miguu n hips haziendani kabisa.....utafikiria mnara wa cmu juu mwembamba chini mnene

ahahahaa tuache utani mkuu,mimi mama ubaya namuonaga mzuri na hiyohiyo fekero yake,tabia tu za kugawagawa hovyo ndio zinazonikera!

Nilimuonaga laivu kabisaa amevaa kajeans kake,duh!anamuonekano flani hivi amaizing,ahahahaa usinipe.mabango tafadhali
 
Uwiiiiiiii! Jamani nimecheka balaaa..
Hakika leo umeniweza.

Yani ni majanga ingekua kafanyia ulaya sawa bt china lazma atajuta tu mda c mrefu istoshe atakua alifanya kwa hela ya ck.....sasa hivi wahongaji kushnei ndio mana ameshindwa kwenda kurekebisha
 
Wanawekewa silicone ndani yani linakua kma puto unawekewa size unayotaka bt mwisho w cku mchina lazma zipishane moja kubwa moja dogo

Yeah ni kweli,lakini ukikutana na mabingwa wa hizo surgery kama dokta NASSIF na TERRY wanakufanyia vizuri mpaka unashangaa!!hawakoseagi wale jamaa aisee!
 
ahahahaa tuache utani mkuu,mimi mama ubaya namuonaga mzuri na hiyohiyo fekero yake,tabia tu za kugawagawa hovyo ndio zinazonikera!

Nilimuonaga laivu kabisaa amevaa kajeans kake,duh!anamuonekano flani hivi amaizing,ahahahaa usinipe.mabango tafadhali

Usoni mpka kwenye kiuno yuko sawa hpa kwenye hips hapana haelezeki kma kavimba plus matutamatuta kma barabara ya akachube
 
Yeah ni kweli,lakini ukikutana na mabingwa wa hizo surgery kama dokta NASSIF na TERRY wanakufanyia vizuri mpaka unashangaa!!hawakoseagi wale jamaa aisee!

Bt side effect yke mbaya sana lazma cancer ikupate tu
 
Back
Top Bottom