tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Ha ha ha kitaachaje kwani si kitakua nacho kimeguswa na dawa
Hahahahahaaa uwiiiiii! Nyie washenzi Ms.Lincoln na cute b nitawapiga fine ya kuvunja mbavu zangu mjue?
Wallah nimecheka hadi machozi...
Mbona huu ubuyu watu wanapita kimyakimya jamani? Kulikoni?
Halafu hilo la bibie kuwa na mimba nilihisi nikataka kusema basi tu nikapotezea.
Hilo linawezekana kabisa...kama mwanae asingekua star nadhani angemzalia mahabuba wake ila kakwepa aibu ya kubeba mimba pamoja na mkwe wake a.k.a kikongwe mwenzie..lol
Shoga la mimba itakuwa ni kweli maana iyo kipind alikuwa hovyo hovyo sana root za hosp haziishi
ni Una vinasaba vya umbea
Isijekua ndio maana domo alisema kua yupo kwenye matatizo makubwa ya family? Kumbe mama alikua na mimba?
Kweli ana haki ya kuchanganyikiwa.
Ndio ivyoo chezea mama kubeba mimba za uzeeni wew..
Hahahahaaa, naona mama kachoka sana.Ukichangia na kijana kuoa tena ndio kazidi kuchanganyikiwa!
Mama yake sukariguru ya warembo wote hapa east africa, a.k.a kisu a.k.a serengeti boi wa Zarina, mla makombo ya Ivan...
Mamake, alikua ana kiserengeti boi chake kakifanya kama kihouseboi, sasa mateso yamezidi akaona isiwe tabu kazi kudeki na kutumikishwa tu.
Si akaenda kuo, sasa bibie kamtuma dada yake ambembelezee kijana arudi kwa mama.Sasa bidada akasema ataandamana kijana swalehe arudi, chezeya mahaba wewee...utaumwa ugonjwa hewaaa!
Sasa kijana akamrekodi bwanaaa
Haa, si wambeya wakaipata iyo voiceclip...ni sheeda Dinazarde, Kimbley, mzurimie
Mjue umbeya ni umbeya tu, mbona sioni kama mmeumung'unua huu au una pilipili nyingi??
Ningekua mi ndo wema huyo fundi angerudisha hela haiwezekani akute trako la duara ye aweke pembe nnesijui kasoma veta ya wapiiiiiiiiiii hhhhaaaa
Mbona nshakoment labda uletwe uzi wa mimba ya wema ndo ntanyamaza ha ha haKuna ule uzi kule unazungumzia mimba ya zari mbna hauji au unaupita kimya kimya
Anapendwa na nyie panya road ha ha ha, asipopewa tuzo ya UIGIZAJI mie mwenyewe ntaadama make wema wenyewe ni IGIZO tosha maisha ake maigizo tupuuuuu Dinazarde atanisaidia kua dramaHahahaaaa kaone vilee.....afu sijakuambia bosi kachukua tuzo ya muigizaji wa kike anaopendwa kuliko wote tz? Ni siiiiingidaaa
Mama yake sukariguru ya warembo wote hapa east africa, a.k.a kisu a.k.a serengeti boi wa Zarina, mla makombo ya Ivan...
Mamake, alikua ana kiserengeti boi chake kakifanya kama kihouseboi, sasa mateso yamezidi akaona isiwe tabu kazi kudeki na kutumikishwa tu.
Si akaenda kuo, sasa bibie kamtuma dada yake ambembelezee kijana arudi kwa mama.Sasa bidada akasema ataandamana kijana swalehe arudi, chezeya mahaba wewee...utaumwa ugonjwa hewaaa!
Sasa kijana akamrekodi bwanaaa
Haa, si wambeya wakaipata iyo voiceclip...ni sheeda Dinazarde, Kimbley, mzurimie
Mjue umbeya ni umbeya tu, mbona sioni kama mmeumung'unua huu au una pilipili nyingi??
Hahahahaaa, naona mama kachoka sana.Ukichangia na kijana kuoa tena ndio kazidi kuchanganyikiwa!
sijui kasoma veta ya wapiiiiiiiiiii hhhhaaaa
Niandike nini mie wakati wametengeneza wangerekodi kideo haya weeee
Kingine ninaheshim mtu mzazi kama navyotaka kuheshimiwa juu ya wanangu na haobwanaotamani dushe.lele la Diamond watahangaika sana tu yeye kashafika mwisho wa reli.
Hahaaaa hyo huwa ipo mbona mwenyewe nilikuaga mwembamba mno yani baada ya mda flani nikajishangaa hips hilo. Hyo Ipo sana tu aisee hasa Mtu akianza Ku ..... For the first time linaumuka hlo.