Wambea mpite hapa

Ataachaje kuchanganyikiwa inauma mno aisee. Ndo mana Christian Bella mzee wa masauti aliimba kuachwa ni shuguli mbaya zaidi kwa yule unaye mpenda we we unakufa na mawazo na kukonda yeye ajali kitu.

Hahaahahaaaaa!
 
Anapendwa na nyie panya road ha ha ha, asipopewa tuzo ya UIGIZAJI mie mwenyewe ntaadama make wema wenyewe ni IGIZO tosha maisha ake maigizo tupuuuuu Dinazarde atanisaidia kua drama


hhhhhhaaaaaaa sina mbavu aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Na hivi ndomo aliambiwa anayo ndogo inachea aende zake huko hatarudi nyuma tena na akamtukana akamweleza nini wewe na vinyweleo vyako m.. Ndukuni
 
Mai kiboko na ukiongeza na ile ya ngozi nigeria ndo kabisa sasa tako limebakia linadondoka kama tumbaku iliyoanikwa baada ya kunyweshewa na mvua
 
Mawe sepetunga mwaka huu analo na mimajiiiiiiiiiiiiiii yake mingiiiiiiiiiiiiiiiii kama sijajua kama ile sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…