Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

Last edited by a moderator:
shosti sijui kuatach video ila mama chibu bwana alikua anatoka na bwan salehe

bas mama rommy kapiga simu kwa dogo dogo kumuuliza kuhusu malovee yao
dogodogo akawa anasema mbona tushaachana toka mwaka jana
mengine nimesahau ila seems km mama rommy alitaka yaishe yaanj waresolve

mtanisamehe team mondi maana mnavyoshadadia ya wenzenu na haya mushadadie basss
warumi hata thread hujaweka mnafki weweee kutwa na wema tuuu na mama ake
leteni thread basssssssssess.....

mnipende mnichukie
mavi yenuuuuu wanafki woteeeeeeeeee mnaopenda kushabikia ya wema tuuuuuuuu

Hahahahaaaa, ila shoga warumi unamuonea maana aliweka uzi akimtetea mama chibu kwa kutoka na dogodogo mara ukafutwa fastaaa.
Ngoja niende kwa shangazi yake na mati maana naona leo dougie hajaweka nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa, ila shoga warumi unamuonea maana aliweka uzi akimtetea mama chibu kwa kutoka na dogodogo mara ukafutwa fastaaa.
Ngoja niende kwa shangazi yake na mati maana naona leo dougie hajaweka nyingine.

kumbe mods wako na double standards eeehhhh
mama wa daimond ndio mama ila wa wema ndo jalala
mi nasema ht wa aly kba km akizingua wamsanue tu hapa ili ajifunze

ndo maana mwanae hana maadili ht kidogo maana hakuna wa kumfunga pakw kengele

mama dogodogo mwana kila siku warembo wapya km chuo kila mwaka intake mpya

nasema hv kabla ya kumuonesha wema kidole au yoyote na wazazi jiangalieni kwanza nyie wenyewe

haya aibu zimewakuta....

ngoja niende kwa shangazi
 
Last edited by a moderator:
Haaaa ndio nani tena alimjaza uchina Dida au?

Hata picha za umisi alikuwa hana matako kumekucha

Nasikia ni yule kizuka mama shaa (kama anavyojiita) ndo alisema ma..ko alimpa yeye....shughuli ipo mjini....acha nikae nanjilinji tu.....
 
Wenye watoto wa kike jamani kandeni wanenu mapema wakizaliwa wasetini baadae mtajionea yale matundu mawili juu ya mat.ako muhimu

Wasetini hata kuwaweka sawa hips zitakuwaje hamuoni mfano wa SA wengi wao walivyo?

Tueleze jamani jinsi ya kufanya. Wasijeyia aibu mtaani
 
Princess sayuni alibadili ID bana Kama nakumbuka vizuri ( Kama hujabadili usinichambe tu Jamani teh teh). Ndiyo wengine shape zetu zinabadilikia ukubwani. Ila tuache utani muuza Samaki wewe, aunt na uwoya wakati wanashiriki umiss
Na wema si walikuwa na shapes za kawaida tu Au?


sasa SI uninong'oneze Kule Chemba hiyo I'd
Kuhusu hii shape Ina utata,uwoya alikua kaumbika na aunt ,mbona Yao hayajapishanaaa
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana Dinazarde watu kuwa na mabadiliko ya shepu ukubwani,si umeona kwa kina mama ubaya hizo shepu za ukubwani???!!chezea pesa wewe unaeza tumia unavyotaka na ukabadilika!


hayo mabadiliko sawaaa ngoja tuone mwisho wake,sie tupo,
 
Last edited by a moderator:
Ebu tujaribu kuwa wakweli ingawa mapenzi ni upofu
Ivi Huoni tofauti kati ya tako la umiss na hili hapa?
Akina nancy, millen na akina nasreen karem wao ya kwao hayaongezeki
Tuseme ni unene au mazoezi mbona tumbo halinenepi na miguy imestuck.
Wee kiuno kimebaki kilekile tako na mapaja yamekua kwa kasi ya ajabu
Basi ni sababu za kinasaba, mbona wale dada zake hawapo ivo?
Mastaa wa juu wenye guts huwa wanakubali kama wamefanya ukarabati fulani katika maeneno yao.Huo ndio ustar.
Sweetheart wetu hapa alitumia kakitu fulani, ndio maana linashuka afu lina pande nne.


umeeleza vizuriii mpenzi,mbona wao hayajakuaa vile,au kina Klyn,faraja,,Mai alishamalizaaa banaaaa
 
Mamy inawezekana ni lake coz mimi mwenyew nilikuwa kimbau mbau balaa sijulikani tako kiuno wala mgongo nikienda kama narudi ila nikiwa chuo second year nili futuka balaa hisps sijui zilitok wapi na makalio sijui yalitoka wapi.


ni kweli Kuna watu wakiwa wembamba Hua wanakishape fulan hivi ,wakinenepa hujaa vizuri hips na kalio,na miguu,sasa huyu miguu mbona haijapata afya???yaan kalio Tu pekee khaaa
 
Back
Top Bottom