Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

Mange aponda nguo aliyovaa mdogo wake Wema wa kujipendekeza kuitwa dada. Kisa kachukia kwa nini hakuoda kutoka kwake na kaenda kushona kwa Eve Collections eti kalipia millioni moja kwa nini hakuigiza ulaya.

Eti waache kusapoti wa TZ wanaoshona, halafu nguo nzuriii

ana roho mbaya huyu dada!!
mbona alipendeza tu wema
alitaka apewe yy oda amnunulie mtumba ingine apige pamba!
 
Diamond Platnumz kanunuliwa gari na mkewe... Insta dk chache zilizopita kaliangalieni
 
Back
Top Bottom