Wambura aigomea TFF, adai uamuzi wa kufungiwa ni batili

Mzee umesema vizuri sana ngoja tff waje tusikilizie haja zao
 
Wambura ni football cobra ... Subirini hili saga halijaisha
Huwezi sema jamaa ni kobra wakati,hujampa nafasi ya kujitetea na kuwashirikisha mashahidi alafu unatoa hukumu mtazani mpo katika kikao cha WALEVI,Wambura yupo sahihi na anajielewa sio muoga na anajua kudai haki yake.
 

Kama vp waziri aingilie kati maana wanataka kurudisha ule utaratibu wa kucheza mpira mahakamani wapuuzi hawa
 
Yaani huyu jamaa sijui kwanini wana mpiga vita pale TFF, Hata kwa watani zangu pale msimbazi huwa ikifika wakati wa uchaguzi wana muwekea mizengwe kibao nadhan ana kitu kuwazidi wao.
Ana kitu gani cha ziada ambacho hakuwahi kukifanya ktk soka la TZ wakati aliwahikuwa katibu mkuu wa FAT na matokeo yake ni kuvurunda tu ubabaishaji na ulaji uliokithiri mpaka kumwondoa ilibidi kazi ya ziada ifanyike.
 
Huyu jamaa atengeneze maisha yake binafsi kama " ana karoho kakukaliwa" hivi. Kama kuna mwanamke amemtelekeza na watoto akafanye reconciliation, sio bure!!!
 
Wao na wajumbe wao ndio waliomchagua wakijua ana mapungufu kibao, Sasa wanaye huyo atawaendesha hadi waimbe poo
wambura kushirikiana na malinzi waliwanunua wajumbe wote wa mikoa ili wachaguliwe. kwakuwa karia ni mtu wa kitengo akafanikiwa kumdaka malinzi hadi leo yupo ndani ( naomba asitoke afie huko).bwana wambura akachaguliwa na ndo amekutana na moto.hatoki hapa wala hachomoki kesha kazikwa .wambura umetuharibia mpira muda mrefu mkuj tafuta kazi ya kufanya.
karia safi sana kulitoa hilo jizi limesoma hadi degree kisa liongoze mpira.
jizi wewe wambura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…