Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

Amerudi tena RFA mwezi ulioisha September,,,Alikuwa Jambo FM Shinyanga
Yeah alikuwa Jambo na Dogo mmoja hivi ana sauti kama ya Mchomvu.

RFA wamelamba Dume kumrudisha Wambura Mtani ,nilikuwa nishaacha kusikiliza Je Huu ni Uungwana la hasha ila kwasasa never Miss.

Hakuna Kulala - Good Morning Africa - Matukio - Ushauri wako -Guinness Records - Je huu ni Uungwana - Sitosahau.
 
Back
Top Bottom