D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,555 Reaction score 5,202 Jan 8, 2024 #161 balibabambonahi said: Wakati anatoka kazini clouds fm alipata ajali. Hakuomba Ho2. Alizikwa kwao Kilimanjaro. Click to expand... Sio kweli hakufariki wakati anatoka kazini clouds Huyu ni miongoni ya waliopunguzwa clouds n kina perfect clispine Kutokana na msongo wa mawazo alikuwa anakunywa sana ndio sababu ya ajali SO alipata ajali akiwa jobless
balibabambonahi said: Wakati anatoka kazini clouds fm alipata ajali. Hakuomba Ho2. Alizikwa kwao Kilimanjaro. Click to expand... Sio kweli hakufariki wakati anatoka kazini clouds Huyu ni miongoni ya waliopunguzwa clouds n kina perfect clispine Kutokana na msongo wa mawazo alikuwa anakunywa sana ndio sababu ya ajali SO alipata ajali akiwa jobless