mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
kuna kitu nataka nikuelewe ila ngoja kwanza nitaludia coment yakorip Mwingine huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kitu nataka nikuelewe ila ngoja kwanza nitaludia coment yakorip Mwingine huyo
Umesahau R.F.A bonanza na anko Sam a.k.a the grandpa kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchanaDaaah!! Enzi kweli zimepita imebidi niingie Youtube nimekuta watangazaji wengi wa Rfa wamevuta aisee na wengi wamehama,
Mimi hiki ndio kilikuwa kituo changu cha redio ninachosikiliza kuanzia asubuhi nikiamka
1.Ilikuwa inaanza 12 asubuhi amka na BBC hadi 12:30 asubuhi inafatia Magazetini asubuhi unakutana na Agbert Mkoko,Tom Chilala (sijui wako wapi kwa sasa hawa) na Ahmed Ally huyu wa simba saivi
2.Saa moja kamili inafata Matukio na Rebecca Molesi au Rahabu Fredy hadi saa moja na Dkk 20 inaanza michezo na Steve moyo Mchongi,Deokaji Makomba au Baruan Muhuza
3.Mbili kamili Mukhtasari wa habari na Rebeca molesi halafu kinafata Sindano tano kali za moto na Freduwaa
4.Saba kamili Show time na akina Glory Robinson toto la mama sabuni na wenzake saa kumi anaingia Baragaza na Mambo mambo
Daaah Time flies tuishi tu wakuu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]
My name is Joakim mwakarugulu this is kiss fm sauti moja nzito sana aisee R.I.P JoakimMkuu RFA haijaizidi Kiss Fm kwa ulocal... Yaani kiss fm imekua mpaka na vipindi vile vya umbea kama vya kina mwijaku na baba levo. Enzi zile The Morning Kiss ya John Karani na Irene Tilya.. nimeisikiliza majuzi hapa nikasikitika sana
Naitwa willy Obare kutoka musomaHuyo Tom Chilala sijui atakuwa wapi siku hizi, ukiangalia top cream ya wanahabari waliopo nchini kwasasa ni wengi sana wamepita hapo RFA.
Kipindi ambacho nilikuwa nakipenda sana na nilikiwa sikikosi, ni kile cha jioni kimaitwa MAMBOMAMBO[emoji91].
Skywalker mbona yupo ingia Instagram, mtafute skywalker mzee wa simulizi na sauti yupo anajitafutaFredrick Bundala alihamia KAHAMA fm, ila baadae alirudi tena RFA miaka ya 2016. Kwasasa sijui yuko wapi huyo jamaa. Alivyorudi mara mojamoja alikuwa anashika kipindi cha Mambomambo.
Steve Moyo Mchonge. Dah nimemkumbuka sana.dah RFA siku hizi imekua local sana!
zaman hii redio ilikua bab kubwa kuliko redio yoyote hapa nchini........
steve moyo aliendaGa wapi?
Mwamba alikua anaitwa Joakim Mungaligulu aka JML, alikuwa ni Mzambia. Alivyotoka Kiss alikwenda Iringa miaka ya 2009-2010 akawa anatangaza local radio inaitwa HOT FM (ilikufa kitambo) ikiwa ni pacha wa EBONY FM (Hii Ebony ipo mpaka sasa). Walimzingua akasepa Dar na ndipo tukapata habari kuwa ametutoka duniani 2013My name is Joakim mwakarugulu this is kiss fm sauti moja nzito sana aisee R.I.P Joakim
Daah mbona raia wengi sana wamekufa?My name is Joakim mwakarugulu this is kiss fm sauti moja nzito sana aisee R.I.P Joakim
Unamsahau vipi King majuto wa Geita sokoni?Nakumbuka tu watuma salami enzi hizo utasikia
Dereva tax marufu mbeya mafiat charse mbonge
Muuza vioo marufu mbeya bony mbamba
Mama Heren wa forest mbeya
Lawena nsonda baba mzazi wa makongorosi chunya
Willy obare wa musoma Tanzania
Checso mzee wa matunda
Aisee kweli time flies
Wapenzi wa RFA Jiburudisheni na kionjo hiki maridhawaNguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.
Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.
Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
mimi nilikua napenda kipindi cha michezo so huko ndiko nilikua namsikiliza sana,.........Steve Moyo Mchonge. Dah nimemkumbuka sana.
Naskia kuna redio local Iringa anafanya kazi.
Nikumbushe, hivi alikuwa anaendesha kipindi gani?
Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.
Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.
Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
wewe alishafariki huyo! Kafa akiwa azam media.Steve Moyo Mchonge. Dah nimemkumbuka sana.
Naskia kuna redio local Iringa anafanya kazi.
Nikumbushe, hivi alikuwa anaendesha kipindi gani?
Ww acha utani. Lini hiyo ilikua na sababu za kifo..wewe alishafariki huyo! Kafa akiwa azam media.
Radio Tanzania Dar Es Salaam (R.T.D)Anaelekea wapi
Ndo TBC au sio!?Radio Tanzania Dar Es Salaam (R.T.D)
Ndio ujue nawe upo njianiDaah mbona raia wengi sana wamekufa?
Glory RobinsonKuna mwingine alikuwa anaitwa mtoto wa mama sabuni jina simkumbuki,