Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Egbert Mkoko alijiendeleza sasa anaitwa Dr. Egbert Mkoko yupo UDSM.Daaah!! Enzi kweli zimepita imebidi niingie Youtube nimekuta watangazaji wengi wa Rfa wamevuta aisee na wengi wamehama,
Mimi hiki ndio kilikuwa kituo changu cha redio ninachosikiliza kuanzia asubuhi nikiamka
1.Ilikuwa inaanza 12 asubuhi amka na BBC hadi 12:30 asubuhi inafatia Magazetini asubuhi unakutana na Agbert Mkoko,Tom Chilala (sijui wako wapi kwa sasa hawa) na Ahmed Ally huyu wa simba saivi
2.Saa moja kamili inafata Matukio na Rebecca Molesi au Rahabu Fredy hadi saa moja na Dkk 20 inaanza michezo na Steve moyo Mchongi,Deokaji Makomba au Baruan Muhuza
3.Mbili kamili Mukhtasari wa habari na Rebeca molesi halafu kinafata Sindano tano kali za moto na Freduwaa
4.Saba kamili Show time na akina Glory Robinson toto la mama sabuni na wenzake saa kumi anaingia Baragaza na Mambo mambo
Daaah Time flies tuishi tu wakuu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]