Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.
Ubungo nhc. Watu hawaoni majina yao ni kuhangaika tu.
Nimeisha piga kura yangu tayari, ila nimeshangazwa na mfumo wa karatasi za kupigia kura, kwani huo mtindo wa kuandika namba ya shahada kwenye karatasi unayo pigia, na kuibakiza kwenye kishina, mtu akiamua kufatilia ulimpigia nani anaweza, na hii binafsi naona inahujumu uhuru wa mtu kumchagua unaye mtaka, kwani mtu aweza kwenda trace back kujua nani ulimpigia kura!
Nadhani hii ni kuhujumu demokrasia, kwani kwa mtaji huu wengine waweza kupiga kura za woga, na sasa naelewa vitisho vya baadhi ya wagombea kwamba usipo nipigia kura utanitambua kumbe jeuri yao iko katika kipengele hiki! so sad!
Ila binafsi sijaogopa nimefanya kweli, na nawasihi wengine tugangamare hivo hivo.
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.
Majina nje yapo ila wanasema kitabu hakijafika eti wasubiri. Wengine wanaanza kukata tamaa.
Thx wakuu. Nipo home sasa. Nilipatwa kihoro maana tulizungushwa sana. Ila mpaka naondoka wenye majina yenye herufi s bado wanahangaika. Kinachotia moyo ni kuwa watu wana msmamo wamesema leo kazi ni moja tu kupiga kura hata kitabu kije saa nane ucku.
Hii mpya sasa mbona hakukuwa na maelekezo kama haya pale UBUNGO NHC? kwa nini uandike namba yako ya shahada kwenye karatasi ya kura?
hata mimi mkuu, nilikuwa namjua dr an mpendazoe tu. huyo diwan niliangalia tu kwenye vidole viwili nikajua hapa ndo nyumbani nikaweka vemaHuwezi amini mpaka sasa ninaemjua ni Mbunge wangu na Rais wangu ila diwani mpaka sasa simjui. Ila sina shaka nijuacho ni kuwa kwa ngazi zote nawapa CHADEMA.
Safari za hapa na pale zimenifanya nisijue diwani halafu sikubadili kituo changu cha kupigia kura