Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
 
Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
Mmiliki wake wamemdaka ndio mana magroup yetu penda hayafunguki😀
 
Sema Telegram makahaba walijimilikisha kama walitengenezewa wao tu
 
Washasanuka kilichotokea kenya

Wanatumia chance tu kuzima maana mtandao wa tigo wamezima telegrama hata kabla ya Durov kukamatwa.

Long live telegram
 
Fikra potofu Sana, sio kila mtu anatumia mitandao ktk negative issues
 
Back
Top Bottom