figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wamedai ni Mahindi, Ila Lory limejaa KURA FEKI
Ni shidaKuna Magonjwa mengi waliyasahau kuyatafiti hili wasiliache.
sasa wata justify vipi wapiga kura million 28 na watu hawapo vituoniHivi mwaka huu kuna umuhimu wa kuina kura?
JamiiCheckWamedai ni Mahindi, Ila Lory limejaa KURA FEKI🤣
View attachment 3495482
Wamedai ni Mahindi, Ila Lory limejaa KURA FEKI🤣
View attachment 3495482
sasa wata justify vipi wapiga kura million 28 na watu hawapo vituoni
Hicho ni chama cha Paskali Mayalla, Wananchi wanacholalamikia ni kweli. Mnasema mnapendwa huku mmejaza mabox ya kura za wizi kwenye malori. Shame on you all
Dogo unajua tulikuwa wote kwenye siku ya regia mtema sista wangu