PostGE2025 Wamefunga JF na mitandao mingine ila ndio wapenzi wazuri kujiongeza kujua wanatawala vipi kwa mawazo yetu

PostGE2025 Wamefunga JF na mitandao mingine ila ndio wapenzi wazuri kujiongeza kujua wanatawala vipi kwa mawazo yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi.

Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu kama sio shapu mbona walifungia mtandao wako,Ina maana waliona na kujua makaburi yao ndio maana unapata misuko suko sana serikali hii.

Nilichogundua hapa JF kuna kundi linalipwa na CCM na wengine walishaleta wasifu wao ila waliondoka kwa aibu kutokana account zao wanajua wanaweza kumwagiwa cv za kila jambo.

Asante JF.

Naona mada: Kuna nini mama anashinda makao makuu ya jeshi kwenye vikao na CDF wake kama tumetaka kuharibu sambusa asubuhi hii na chai ya maziwa.
 
Wakipewa afusaba wanasifu na kuabudu vijana wa mboga mboga wamepwaya sana yaani sana
 
Back
Top Bottom