Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kama wamegeuka basi hilo ni kosa, lakini bado haiondoi ukweli kwamba timu zinazocheza Kombe la Shirikisho huwa zinapatikana kwa utaratibu mmoja kati ya huu kutoka katika nchi shiriki.Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya mtanzania
1. Huwa sio mabingwa wa nchi bali wa kikombe cha shirikisho la nchi husika au kikombe maalum au washindi wanaofuata wa kikombe hicho iwapo bingwa wa ligi alitwaa pia kiombe hicho maalum
AU
2. ni washiriki wa michuano ya Klabu Bingwa walioondolewa katika raundi ya pili, au kwa ufupi walioshindwa kuingia katika hatua ya makundi ya CAF Champions League
Huo ndio uhalisia, sasa kama ni wabovu au wazuri walioondolewa kwa bahati mbaya, hilo ni suala lingine la kupima