Wamegeuka timu za Shirikisho ni nyepesi

Wamegeuka timu za Shirikisho ni nyepesi

Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya mtanzania
Kama wamegeuka basi hilo ni kosa, lakini bado haiondoi ukweli kwamba timu zinazocheza Kombe la Shirikisho huwa zinapatikana kwa utaratibu mmoja kati ya huu kutoka katika nchi shiriki.
1. Huwa sio mabingwa wa nchi bali wa kikombe cha shirikisho la nchi husika au kikombe maalum au washindi wanaofuata wa kikombe hicho iwapo bingwa wa ligi alitwaa pia kiombe hicho maalum
AU
2. ni washiriki wa michuano ya Klabu Bingwa walioondolewa katika raundi ya pili, au kwa ufupi walioshindwa kuingia katika hatua ya makundi ya CAF Champions League

Huo ndio uhalisia, sasa kama ni wabovu au wazuri walioondolewa kwa bahati mbaya, hilo ni suala lingine la kupima
 
Mazembe atakaa kwa BAMAKO hawez kukubali kupigwa mech zote kumbuka hata us monastair alitoa sare kule Mali akishika nafas ya 3 mpunga na point zitaongezeka katka rank za CAF

Sent using Jamii Forums mobile app
ni suala la kusubiri tu. Nilichogundua ni kwamba tatizo la TP Mazembe ni kama la Simba vile. Ukiamngalia takwimu zao utaona wanapeleka mashambulizi mengi lakini wanapata magoli machache
 
Aloo mashabiki wa Tanzania ... wameibuka na cheap propaganda kwa kuanza kusema michuano ya Shirikisho ni mepesi.
Lakini hili suala la kusema michuano ya kombe la shirikisho kuwa ni ya timu mbovu na nyepesi, lilitolewa na Yanga kupitia kwa msemaji wake kwa wakati huo, Haji Manara, wakati huo Simba inashiriki na Yanga haikuwapo kabisa. Pengine wanachofanya hawa mashabiki ni kukumbushia tu kilichoongelewa. Kwa hiyo haupo sahihi kusema kuwa mashabiki wamegeuka, ila useme wamekumbushia
 
Nyie ilo kombe la shirikisho c ndio mlipigwa faini na caf kwa kufanya ulozi uwanjani kwa watu na bado mkapigwa.
Kama ni kombe la loser kwanini mlishindwa kulichukua ilo kombe?.
 
Nyie ilo kombe la shirikisho c ndio mlipigwa faini na caf kwa kufanya ulozi uwanjani kwa watu na bado mkapigwa.
Kama ni kombe la loser kwanini mlishindwa kulichukua ilo kombe?.
Mzee unafikiri kuchukua Kombe la Shirikisho ni sawa na kuifunga Ihefu? maana Ihefu yenyewe tu ni timu ngumu
 
Yangaa vilazaaaaa sana hilo kombe wao si wanalitaa luzaaa........leo limekua tam daah
Uto banaaaa
 
Mzee unafikiri kuchukua Kombe la Shirikisho ni sawa na kuifunga Ihefu? maana Ihefu yenyewe tu ni timu ngumu
Ndio muache kusema ni kombe la losers ili hali nyie mmeshindwa kufika hata semi final
 
Aloo mashabiki wa Tanzania ipo kazi sana, baada ya Yanga kupiga soka la kitabuni dhidi ya Tp Mazembe, Real Bamako na Montasir wale wa upande kule ambao kwa yanga kila kitu kibaya wameibuka na cheap propaganda kwa kuanza kusema michuano ya Shirikisho ni mepesi.

Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya mtanzania hata makazini fitna kwa wale wanaofanya majukumu yao vizuri.Kipindi yanga inapitisha bakuli hizi kelele hazikuwepo zimeanza baada ya mafanikio kuja chini cha mwendesha jahazi makin eng Hersi Said.

Pasipo na shaka kati ya timu zinazopigwa vita kwa sasa ni Yanga, bila unazi hivi kuna mtu anadiriki kusema Tp mazembe ni wabovu au real bamako basi wengi wenu mtakua hamwangalii soka ukicheki ile gemu ya Tp Mazembe Bato ya Viungo wa kati pale halikua la kitoto ni weka niweke mwenye Mid nzuri ndio alishinda game natamani sana wenye kelele nyingi waombe gemu la kirafiki na Real Bamako au Tp mazembe tuwaone.

Tujifunze kusifia kwa sasa yanga wana timu nzuri na benchi la ufundi zuri wale viungo wa Real Bamako sijui kama mliwaona halafu anatokea mtu anakwambia ni timu ya kawaida tupeane muda utasikia nusu ya wachezaji wa Real Bamako wapo Ulaya
Shirikisho ligi ya looser
 
Ndio muache kusema ni kombe la losers ili hali nyie mmeshindwa kufika hata semi final
Hili unatakiwa umwambie mwanachama na msemaji wa Yanga, Haji Manara.
Kwani Yanga imefika semi final? 😁. Kumbuka Simba ilishafika fainali ya Kombe la CAF
 
Kabla michuano haijaanza tuliwasikia wakisema ngoja za kimataifa zianze tutaona ubora wenu saivi wamegeuka na kudai timu zilizopo shirikisho ni nyepesi..

Hii ni tabia ya watu wengi sana huwa hawakubali uwezo na jitihada za wengine.
hujui kwann wamekutana huko shirikisho?
 
Kwa taarifa yako tu, huyo kidume chenu Raja ambaye mmeshakiri kuwa hamumuwezi kwa mpira wake mkubwa, kule Morocco anayewakimbiza kwa sasa ni Rabat ambaye yupo kwenye kombe la shirikisho. Usikariri tu kuwa timu zilizo klabu bingwa zote ni nzuri kuliko zilizopo shirikisho. Ukweli ni kwamba hata kwenye klabu bingwa kuna timu mbovu vile vile ambazo zikicheza na timu zilizopo shirikisho hazifurukuti.
arsenal anaongoza lig ila hayupo UEFA , je anaeza mmudu nani pale UEFA ? kuongoza lig ni kuokota points nying kwa vibonde
 
Kwa hiyo unataka kusema HUKO KWA MALOOSER KUNA TIMU NZURI KULIKO, RAJA, VIPERS, MAMELODI , AL HILAL ,AL AHLY NA ESPERANCE?

NB: ASILIMIA 90 YA TIMU ZILIZOPO KOMBE LA SHIRIKISHO NI VILAZA WALIOSHINDWA CHAMPIONS LEAGUE.

LUC AYMAEL AJENGEWE SANAMU PALE KAUNDA HAKIKA HAYA NI MANYANI ASILIMIA 100.
Kwamba far rabat, monastir, malumo, pyramids wamezidiwa na vipers?
 
Sasa mkuu, we huku champions league unamuweza nani, Al hilal kakutoa jasho, huyo vipers alopigwa nje ndani hutaki hata kumsikia,, endeleeni huko huko tu ndo size yenu, na sio siri timu za huko ni dhaifu, Tp mazembe imeshajifia, Real Bamako hana tofauti na polisi Tanzania..
Vipi huyo Yanga unakumbuka mlimfunga lini pia??????
 
Back
Top Bottom