Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Sio hao tu vilaza wote wanaoshiriki kombe la LOOSERS wakikutana na VIPERS wanabondwa bila wasiwasi.Kwamba far rabat, monastir, malumo, pyramids wamezidiwa na vipers?
Hao wanaopost thread kila siku kuzungumzia ilo ni hakina manara hao?Hili unatakiwa umwambie mwanachama na msemaji wa Yanga, Haji Manara.
Kwani Yanga imefika semi final? 😁. Kumbuka Simba ilishafika fainali ya Kombe la CAF
Sio akina Manara, ila wanamnukuu Manara. Tatizo mnamlinda, mwambieni ajitokeze atengue kauli yake. Sasa hapa unataka kuhamishia mzigo wa misumari kwa waanzisha nyuzi wakati ipo wazi kabisa aliyetamka hivyo ni Haji!Hao wanaopost thread kila siku kuzungumzia ilo ni hakina manara hao?
Ndio....Kwa hiyo timu za shirikisho ni bora sawa na za klabu bingwa?
Mkuu mbona Simba sio mabingwa wa nchi? Au nao ndio miongoni mwa timu izo timu zilizoko klabu bingwa kwa bahati mbaya?Kama wamegeuka basi hilo ni kosa, lakini bado haiondoi ukweli kwamba timu zinazocheza Kombe la Shirikisho huwa zinapatikana kwa utaratibu mmoja kati ya huu kutoka katika nchi shiriki.
1. Huwa sio mabingwa wa nchi bali wa kikombe cha shirikisho la nchi husika au kikombe maalum au washindi wanaofuata wa kikombe hicho iwapo bingwa wa ligi alitwaa pia kiombe hicho maalum
AU
2. ni washiriki wa michuano ya Klabu Bingwa walioondolewa katika raundi ya pili, au kwa ufupi walioshindwa kuingia katika hatua ya makundi ya CAF Champions League
Huo ndio uhalisia, sasa kama ni wabovu au wazuri walioondolewa kwa bahati mbaya, hilo ni suala lingine la kupima
Rage ajengewe sanamuSio akina Manara, ila wanamnukuu Manara. Tatizo mnamlinda, mwambieni ajitokeze atengue kauli yake. Sasa hapa unataka kuhamishia mzigo wa misumari kwa waanzisha nyuzi wakati ipo wazi kabisa aliyetamka hivyo ni Haji!
Kwa mtazamo wa CAF, Simba inastahili kushiriki michuano ya Klabu bingwa ya Afrika. Ni mtazamo huo huo ndio uliotumika kuichagua Simba kushiriki michuano ijayo ya kwanza ya Super League, tena uchaguzi umefanyika bila kujali Simba itashika nafasi ya ngapi katika ligi ya mwaka huu, maana yake hata kama itashuka daraja. Sio mimi, ni CAF.Mkuu mbona Simba sio mabingwa wa nchi? Au nao ndio miongoni mwa timu izo timu zilizoko klabu bingwa kwa bahati mbaya?
Tena kumbuka, Manara akiwa katika jezi na nembo za Yanga, alisema huku Yanga wenye akili ni wawili tu. Bahati mbaya alipotaja majina hayo mawili, la kwako halikuwepo. Manara ajengewe sanamuRage ajengewe sanamu
Nakwambia hivi, kwenye ligi tangu aje Nabi timu zimetoa sare zote. Simba na Yanga zikitoka sare unasema Simba imeshindwa kumfunga Yanga, ila cha ajabu hausemi Yanga imeshindwa kumfunga SimbaWewe kolo niambie lini ulinifunga kwenye ligi..
This is Yanga Mzee, Hamtuwezi nyie Wachawi
Labda ni Msimu wa mwaka Jana, mechi zote zimetoka share.. na hii ya kwanza Msimu huu.. licha ya hvyo Kuna hizi za FA na Ngao ya jamii, Makolo mmepasuliwa sana na Yanga, nn unataka kukataaNakwambia hivi, kwenye ligi tangu aje Nabi timu zimetoa sare zote. Simba na Yanga zikitoka sare unasema Simba imeshindwa kumfunga Yanga, ila cha ajabu hausemi Yanga imeshindwa kumfunga Simba
Kwenye UEFA unataka nikutajie timu ambayo inaweza kufungwa na Arsenal.arsenal anaongoza lig ila hayupo UEFA , je anaeza mmudu nani pale UEFA ? kuongoza lig ni kuokota points nying kwa vibonde
Acha uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MTU mwenye akili timamu hawezi kusema Kombe la Mabingwa na Kombe la Luza ni michuano sawa.
Wamezidiwa ndyooo, ndo maana vipers yuko CL, na hao wako CC.Kwamba far rabat, monastir, malumo, pyramids wamezidiwa na vipers?
Kama mpira unaujua na mifumo ya mashindano unayaelewa, basi ungekuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya kufeli klabu bingwa na kuwa timu mbovu. Hakuna uhusiano kati ya kufeli kufuzu klabu bingwa na kuwa timu mbovu. Kuna timu zimepitia njia nyepesi na kuna timu zimepitia njia ngumu.Bado haibadilishi ukweli kuwa shirikisho ni kombe la vilaza walioshindwa CHAMPIONS LEAGUE.
Sasa unalia nn wee, si alisema Sope, shirikisho ni kombe la losers. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ifikie wakati tukubali tu ukweli; mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu.
Unaposema sana utaje na idadi kama mimi nilivyotaja, usiseme kwa imagination. Mara ya kwanza ulisema Simba imefungwa na Nabi kwenye ligi, nikasema onyesha ushahidi. Sasa hivi umehamia kwingine kabla haujaleta ushahidiLabda ni Msimu wa mwaka Jana, mechi zote zimetoka share.. na hii ya kwanza Msimu huu.. licha ya hvyo Kuna hizi za FA na Ngao ya jamii, Makolo mmepasuliwa sana na Yanga, nn unataka kukataa
Unakumbuka FA Simba iliifunga Yanga 4-1 ?....Kuna hizi za FA na Ngao ya jamii, Makolo mmepasuliwa sana na Yanga, nn unataka kukataa