Nilimpiga 4-1 nusu fainali ya Asfc, nikamgonga tena 1-0 kigoma nikachukua ndoo,, na ni moja ya timu niliyoigonga nyingi eg 5-0, 6-0 ..Vipi huyo Yanga unakumbuka mlimfunga lini pia??????
Haya nambie ilikuwa FA ya mwaka gani.. usikute ni zaidi ya miaka 3 imefika.. Hyo Raha ya kushangilia Hadi Leo unaitoa wapi wakati mwenzio anakupasua Kila mwakaUnakumbuka FA Simba iliifunga Yanga 4-1 ?
Chama aliingia kambani, tena Chama huyu huyu anayeng'aa kwenye timu dhaifuHaya nambie ilikuwa FA ya mwaka gani.. usikute ni zaidi ya miaka 3 imefika.. Hyo Raha ya kushangilia Hadi Leo unaitoa wapi wakati mwenzio anakupasua Kila mwaka
mbona we unamdharau TP mazembe alokupiga kimoko Simba daySasa mkuu, we huku champions league unamuweza nani, Al hilal kakutoa jasho, huyo vipers alopigwa nje ndani hutaki hata kumsikia,, endeleeni huko huko tu ndo size yenu, na sio siri timu za huko ni dhaifu, Tp mazembe imeshajifia, Real Bamako hana tofauti na polisi Tanzania..
Tp mazembe ile sio sawa na hiimbona we unamdharau TP mazembe alokupiga kimoko Simba day
Na Vipers mnayesema ni dhaifu alikupiga viwili kwenye siku ya migongo wazi?Hapo vipi?mbona we unamdharau TP mazembe alokupiga kimoko Simba day
Na Vipers mnayesema ni dhaifu alikupiga viwili kwenye siku ya migongo wazi?Hapo vipi?
Lakini hili suala la kusema michuano ya kombe la shirikisho kuwa ni ya timu mbovu na nyepesi, lilitolewa na Yanga kupitia kwa msemaji wake kwa wakati huo, Haji Manara, wakati huo Simba inashiriki na Yanga haikuwapo kabisa. Pengine wanachofanya hawa mashabiki ni kukumbushia tu kilichoongelewa. Kwa hiyo haupo sahihi kusema kuwa mashabiki wamegeuka, ila useme wamekumbushia
Mkishiba mihogo mna tabu sana.Engineer alisema kweli.Kombe la losers bado ni la losers tu.Hamna haki ya kuwasema Vipers mnacheza na vibonde wao.Jipige kifua halafu sema rage alikua sahihi Yanga kakufunga ngap ngao ya jamii jaribu kufikiri masta hata kiduchu shida Ahmed Ally anawadanganya sana eti kisa flani kamfunga flani huo uchambuzi wa wapi, vipers ni Kubwajinga la grupu
Ni kweli kabisa mkuu Simba katinga robo final champion back to back wanaibuka na kusema Corona ilisaidia🙉🙉Kabla michuano haijaanza tuliwasikia wakisema ngoja za kimataifa zianze tutaona ubora wenu saivi wamegeuka na kudai timu zilizopo shirikisho ni nyepesi..
Hii ni tabia ya watu wengi sana huwa hawakubali uwezo na jitihada za wengine.
Haihitaji nguvu kuuubwa kuelezea kuwa Champions League ni ngumu kuliko Loosers League.Aloo mashabiki wa Tanzania ipo kazi sana, baada ya Yanga kupiga soka la kitabuni dhidi ya Tp Mazembe, Real Bamako na Montasir wale wa upande kule ambao kwa yanga kila kitu kibaya wameibuka na cheap propaganda kwa kuanza kusema michuano ya Shirikisho ni mepesi.
Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya Mtanzania hata makazini fitna kwa wale wanaofanya majukumu yao vizuri. Kipindi yanga inapitisha bakuli hizi kelele hazikuwepo zimeanza baada ya mafanikio kuja chini cha mwendesha jahazi makin eng Hersi Said.
Pasipo na shaka kati ya timu zinazopigwa vita kwa sasa ni Yanga, bila unazi hivi kuna mtu anadiriki kusema Tp mazembe ni wabovu au real bamako basi wengi wenu mtakua hamwangalii soka ukicheki ile gemu ya Tp Mazembe Bato ya Viungo wa kati pale halikua la kitoto ni weka niweke mwenye Mid nzuri ndio alishinda game natamani sana wenye kelele nyingi waombe gemu la kirafiki na Real Bamako au TP mazembe tuwaone.
Tujifunze kusifia kwa sasa yanga wana timu nzuri na benchi la ufundi zuri wale viungo wa Real Bamako sijui kama mliwaona halafu anatokea mtu anakwambia ni timu ya kawaida tupeane muda utasikia nusu ya wachezaji wa Real Bamako wapo Ulaya
kwan option ya kuingia shirikisho ni priority kwa hz team ?Hebu tupe sababu
unauliza majibu , "kwamba mmoja kafaulu mwingine kaferi unauliza kwel kazidiwa " angekuwa hajazidiwa angefauluKwamba far rabat, monastir, malumo, pyramids wamezidiwa na vipers?
kwan hujuu utaratibu wa kwenda klabu bingwa mkuu ?Mkuu mbona Simba sio mabingwa wa nchi? Au nao ndio miongoni mwa timu izo timu zilizoko klabu bingwa kwa bahati mbaya?