Wamegeuka timu za Shirikisho ni nyepesi

Wamegeuka timu za Shirikisho ni nyepesi

Vipi huyo Yanga unakumbuka mlimfunga lini pia??????
Nilimpiga 4-1 nusu fainali ya Asfc, nikamgonga tena 1-0 kigoma nikachukua ndoo,, na ni moja ya timu niliyoigonga nyingi eg 5-0, 6-0 ..
 
Nilidhan Yanga ktk kundi lao itashika mkia... Nilidhan Yanga bila Feisal ingepotea... Nilidhan Yanga kujificha kambi Kigamboni Avic Town kwa maandaliz ya mechi za kimataifa ingefeli mapema... Nilidhan Yanga ya Moloko Kisinda Mwamnyeto Mudathir Musonda Clement ingekua inafungwa kila mechi za kimataifa... Nilidhan Nabi hana akili ile game na TP Mazembe kumuweka Aziz nje kikosi kikawa hakielewek kila mtu alishika kichwa ila moto waliopelekewa Mazembe hawana hamu... Nilidhan Yanga haitapata pesa za Rais kwa kushindwa kufunga mabao... Nilidhan Yanga... Nilidhan Yanga... Nilidhan Yanga... Nilidhan Yanga... Nilidhan Yanga...
Mkitaka muidhofishe Yanga muuweni GSM na NABI na lile benchi lote la ufundi... Just imagine bado dk20 mpira uishe Yanga inaongoza bao 2 dhidi ya Bamako, Nabi anamuingiza mtoto mdogo Clement akamsaidie Mayele 😂 angekua kocha mwingine angemtoa Mayele na Musonda angeingiza mabeki wakapaki bus... Nasemaje Nasemaje Nasemaje tukutane Fainali... 🏅🏆
 
Unakumbuka FA Simba iliifunga Yanga 4-1 ?
Haya nambie ilikuwa FA ya mwaka gani.. usikute ni zaidi ya miaka 3 imefika.. Hyo Raha ya kushangilia Hadi Leo unaitoa wapi wakati mwenzio anakupasua Kila mwaka
 
Haya nambie ilikuwa FA ya mwaka gani.. usikute ni zaidi ya miaka 3 imefika.. Hyo Raha ya kushangilia Hadi Leo unaitoa wapi wakati mwenzio anakupasua Kila mwaka
Chama aliingia kambani, tena Chama huyu huyu anayeng'aa kwenye timu dhaifu
 
Kwani manara alisemaje???tuanzie hapo kwanza ka la tuendelee
 
Tusha wazoea hawa, wakishindwa ligi dhaifu wakishinda wanajua mpira, akifungwa mwingine bahasha wakifungwa wao refa anapendelea
 
Sasa mkuu, we huku champions league unamuweza nani, Al hilal kakutoa jasho, huyo vipers alopigwa nje ndani hutaki hata kumsikia,, endeleeni huko huko tu ndo size yenu, na sio siri timu za huko ni dhaifu, Tp mazembe imeshajifia, Real Bamako hana tofauti na polisi Tanzania..
mbona we unamdharau TP mazembe alokupiga kimoko Simba day
 
Ndio sababu timu iliyofungwa au kushindwa kuendelea ina drop na kushiriki kombe la Shirikisho na sio the other way round.
Una drop kutoka kwenye timu ngumu unapelekwa kwenye losers wenzako.
 
Na Vipers mnayesema ni dhaifu alikupiga viwili kwenye siku ya migongo wazi?Hapo vipi?

Jipige kifua halafu sema rage alikua sahihi Yanga kakufunga ngap ngao ya jamii jaribu kufikiri masta hata kiduchu shida Ahmed Ally anawadanganya sana eti kisa flani kamfunga flani huo uchambuzi wa wapi, vipers ni Kubwajinga la grupu
 
Lakini hili suala la kusema michuano ya kombe la shirikisho kuwa ni ya timu mbovu na nyepesi, lilitolewa na Yanga kupitia kwa msemaji wake kwa wakati huo, Haji Manara, wakati huo Simba inashiriki na Yanga haikuwapo kabisa. Pengine wanachofanya hawa mashabiki ni kukumbushia tu kilichoongelewa. Kwa hiyo haupo sahihi kusema kuwa mashabiki wamegeuka, ila useme wamekumbushia

Jipige kifua halafu sema rage alikua sahihi Yanga kakufunga ngap ngao ya jamii jaribu kufikiri masta hata kiduchu shida Ahmed Ally anawadanganya sana eti kisa flani kamfunga flani huo uchambuzi wa wapi, vipers ni Kubwajinga la grupu
Mkishiba mihogo mna tabu sana.Engineer alisema kweli.Kombe la losers bado ni la losers tu.Hamna haki ya kuwasema Vipers mnacheza na vibonde wao.
 
Kabla michuano haijaanza tuliwasikia wakisema ngoja za kimataifa zianze tutaona ubora wenu saivi wamegeuka na kudai timu zilizopo shirikisho ni nyepesi..

Hii ni tabia ya watu wengi sana huwa hawakubali uwezo na jitihada za wengine.
Ni kweli kabisa mkuu Simba katinga robo final champion back to back wanaibuka na kusema Corona ilisaidia🙉🙉
Hii ni tabia ya watu wengi Sana huwa
hawakubali uwezo na jitihada za wengine.
 
Aloo mashabiki wa Tanzania ipo kazi sana, baada ya Yanga kupiga soka la kitabuni dhidi ya Tp Mazembe, Real Bamako na Montasir wale wa upande kule ambao kwa yanga kila kitu kibaya wameibuka na cheap propaganda kwa kuanza kusema michuano ya Shirikisho ni mepesi.

Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya Mtanzania hata makazini fitna kwa wale wanaofanya majukumu yao vizuri. Kipindi yanga inapitisha bakuli hizi kelele hazikuwepo zimeanza baada ya mafanikio kuja chini cha mwendesha jahazi makin eng Hersi Said.

Pasipo na shaka kati ya timu zinazopigwa vita kwa sasa ni Yanga, bila unazi hivi kuna mtu anadiriki kusema Tp mazembe ni wabovu au real bamako basi wengi wenu mtakua hamwangalii soka ukicheki ile gemu ya Tp Mazembe Bato ya Viungo wa kati pale halikua la kitoto ni weka niweke mwenye Mid nzuri ndio alishinda game natamani sana wenye kelele nyingi waombe gemu la kirafiki na Real Bamako au TP mazembe tuwaone.

Tujifunze kusifia kwa sasa yanga wana timu nzuri na benchi la ufundi zuri wale viungo wa Real Bamako sijui kama mliwaona halafu anatokea mtu anakwambia ni timu ya kawaida tupeane muda utasikia nusu ya wachezaji wa Real Bamako wapo Ulaya
Haihitaji nguvu kuuubwa kuelezea kuwa Champions League ni ngumu kuliko Loosers League.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom