Wamegeuka timu za Shirikisho ni nyepesi

Kwenye UEFA unataka nikutajie timu ambayo inaweza kufungwa na Arsenal.
1) Ac Milan
2)Dortumond
3)Club bruge
4) Tottenham
5) Chelesea
6) Benfica
kwann hawapo UEFA ?
 
uzue kufuzu sio mechi moja , Hao yanga wametolewa na Al hilal ambao mliamin ni vibonde
 
Reactions: Tui
kwann hawapo UEFA ?
Swali lako umeuliza kuwa timu gani inayocheza UEFA ambayo Arsenal ina ubavu wa kuifunga. Nikakutajia, sasa kabka ya kuuliza swali la pili kwanza tukubaliane kuhusu hili. Ni kweli wanafungika na Arsenal ama lah kama lah ni kwanini wasifungike
 
umesema inaweza sio imezifunga msimu huu ? sasa jiulize kwann hayupo nao hapo ? jibu ni kuwa hao ni bora kuliko Arsenal hz nyingne ni asumptions tu
 
Swali lako umeuliza kuwa timu gani inayocheza UEFA ambayo Arsenal ina ubavu wa kuifunga. Nikakutajia, sasa kabka ya kuuliza swali la pili kwanza tukubaliane kuhusu hili. Ni kweli wanafungika na Arsenal ama lah kama lah ni kwanini wasifungike
hao ndo type yake , hao unaowaona majina madogo ni bora ndio maana wapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…