4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kufunga Simba ndi kufuzu CAF kuwa serious basWewe kolo niambie lini ulinifunga kwenye ligi..
This is Yanga Mzee, Hamtuwezi nyie Wachawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufunga Simba ndi kufuzu CAF kuwa serious basWewe kolo niambie lini ulinifunga kwenye ligi..
This is Yanga Mzee, Hamtuwezi nyie Wachawi
kwann hawapo UEFA ?Kwenye UEFA unataka nikutajie timu ambayo inaweza kufungwa na Arsenal.
1) Ac Milan
2)Dortumond
3)Club bruge
4) Tottenham
5) Chelesea
6) Benfica
uzue kufuzu sio mechi moja , Hao yanga wametolewa na Al hilal ambao mliamin ni vibondeKama mpira unaujua na mifumo ya mashindano unayaelewa, basi ungekuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya kufeli klabu bingwa na kuwa timu mbovu. Hakuna uhusiano kati ya kufeli kufuzu klabu bingwa na kuwa timu mbovu. Kuna timu zimepitia njia nyepesi na kuna timu zimepitia njia ngumu.
Na ndio maana nikakupa tu uhalisia kuwa kwenye kombe la shirikisho kuna timu ngumu na ndio maana bingwa wa klabu bingwa akakalishwa na bingwa wa shirikisho kwenye super cup.
Swali lako umeuliza kuwa timu gani inayocheza UEFA ambayo Arsenal ina ubavu wa kuifunga. Nikakutajia, sasa kabka ya kuuliza swali la pili kwanza tukubaliane kuhusu hili. Ni kweli wanafungika na Arsenal ama lah kama lah ni kwanini wasifungikekwann hawapo UEFA ?
umesema inaweza sio imezifunga msimu huu ? sasa jiulize kwann hayupo nao hapo ? jibu ni kuwa hao ni bora kuliko Arsenal hz nyingne ni asumptions tuSwali lako umeuliza kuwa timu gani inayocheza UEFA ambayo Arsenal ina ubavu wa kuifunga. Nikakutajia, sasa kabka ya kuuliza swali la pili kwanza tukubaliane kuhusu hili. Ni kweli wanafungika na Arsenal ama lah kama lah ni kwanini wasifungike
hao ndo type yake , hao unaowaona majina madogo ni bora ndio maana wapo hapoSwali lako umeuliza kuwa timu gani inayocheza UEFA ambayo Arsenal ina ubavu wa kuifunga. Nikakutajia, sasa kabka ya kuuliza swali la pili kwanza tukubaliane kuhusu hili. Ni kweli wanafungika na Arsenal ama lah kama lah ni kwanini wasifungike
Tanzania Simba ni namba 1 na Yanga ni namba 2 , hz takwimu za muda sana though sina ushaidi wa kuzipinga , doubt yang huko international Tp Mazembe ana misimu 3 amekuwa mbovu sana sijui nafas ya 5 afrika kapewajData kutoka mtandao wa FOOTBALL DATA BASE
View attachment 2547229
View attachment 2547230
View attachment 2547231
View attachment 2547233
View attachment 2547228